Habari
Tarehe : 28 May, 2019

Sherehe ya Uaskofu

Mhashamu Jude Thaddaeus S. Ruwa ichi OFM cap. Askofu Mkuu Jimbo Kuu Dar es Salaam , anawaalika Maklero, Watawa na waamini wote wa Jimbo Kuu Dar es Salaam kushiriki adhimisho la MISA TAKATIFU ya kupewa daraja Takatifu ya uaskofu kwa Wahashamu Maaskofu Wateule Henry Mchamungu na Stephano Musomba OSA. Maaskofu hawa watawekwa Wakfu katika Daraja Takatifu la Uaskofu Tarehe 21 Septemba 2021 katika viwanja vya msimbazi Center saa 3:00 Asubuhi.

Kufuatia mwaliko huo;

Viongozi kutoka Mashirika mbalimbali. Parokia mnaomba kuandaa zawadi kwaajili ya Maaskofu hao wateule.

Halikadhalika Viongozi kutoka Dekania na Parokia mnahamasishwa kuandaa Matoleo ya siku hiyo.

watakaokuwa tayari wanaweza kuwakilisha mapema pale inapowezekana


Document Attachment :
5. CFAcc Toolbox 0 Kb


Kuhusu Kanisa Katoliki

Ofisi ya Halmashauri ya Walei Jimbo Kuu la Dar es salaam inapatikana makao makuu ya Jimbo,
Kanisa la St. Joseph, barabara ya Sokoine na Manseld street.

P.O Box 167, Dar es Salaam, Tanzania
Tel: +255 762 024 199
Email: mawasiliano@waleijimbodaresalaam.org
            darwaleijimbo@yahoo.com
Web: www.waleijimbodaresalaam.org

Kwa Habari kemkem za Kanisa jiunge nasi

Andika email yako hapo juu, na upokee taarifa za H/walei

Copyright © 2025. All Rights reserved by H/Walei Jimbo Kuu la Dar es salaam