Changamoto
Zipo changamoto nyingi katika uendeshaji shughuli mbali mbali ukizingatia jimbo ndio muhimili mkubwa katika kusimamia,kuratibu malengo na maazimio mpaka ngazi ya chini kabisa, hivyo zipo changamoto nyingi kama vile;
Upungufu wa mapadre baaada ya kuongezeka vituo vya sala,Vigango na Parokia
Baadhi ya waumini kutangatanga katika madhehebu na makanisa mengine.
Vijana wengi kukosa moyo wa kujiunga na upandre /utawa
Mmomonyoko wa maadili kuongezeka
Madhehebu na vikanisa vidogo vidogo kuchipua
Uharibifu wa Imani kutokana na utandawazi
Maudhhurio hafifu katika shughuli mbalimbali za kikanisa mfano; Ibada na JNNK kwa akina Baba na Vijana
Vijana wengi kuishi uchumba sugu au suria
Nyota ya kijani na athari katika uzazi
NINI KIFANYIKE
Kusisitiza mafundisho ya sakramenti (Biblia na Katekisimu endelevu) pamoja na mafuundisho mengine ya kiroho ili kujenga Imani ya waumini.
Mapadre/Watawa kuishi maadili yao na kuacha kupenda malimwengu
Kusisitiza mafundisho ya ndoa ya mara kwa mara ili kujenga ufahamu Zaidi katika maisha ya kimahusiano ya ndoa
Mafundisho yatolewe juu ya matumizi sahihi ya utandawazi pamoja na athari zake katika jamii.
Kuhimiza vijana kujiunga na utawa/Utawa.
- Matukio
- Juinge na Kanisa
- Neno kuu la mwaka 2018
- Kalenda ya matukio 2018
- Ramani ya Tovuti
- Biblia Mtandaoni na zaidi
- Liturujia ya Kanisa Katoliki
- Mkate wa siku ya LeoLorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipisicing elit, do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore Ut enim ad minim magna aliquaβ2 kor 2:16