Kuhusu Dekania
PAROKIA
Parokia ni muundo wa kanisa katoliki ambao unatokana na sehemu ya jimbo(dayosisi) unapo fanyika uchungaji wa kila siku chini ya kasisi anayemwakilisha askofu.
Kiini cha maisha ya parokia ni adhimisho la ekarist siku ya jumapili ambapo jumuiya nzima ya kikristo ya eneo husika inakusanyika ili kusikiliza neno la mungu, imsifu mungu na kumega mkate
Jina hilo lilianza kutumika katika karne Ya (iii) kutokana na neno la kigiriki(napoikia)=ujirani linalotumika katika tafsiri ya biblia ya septuaginta kwa maana ya kukaa ugenini
Kiongozi wa parokia ni Paroko akisaidiwa na paroko msaidizi, Viongozi katika kamati tendaji ya parokia wakiwa ndio kiungo kikubwa katika utendaji wa shughuli za kilasiku za Parokia, wakisaidiwa na viongozi kutoka katika halmashauri ya walei ya parokia na vyama vya kitume.
Zipo parokia 109 zilizo chini ya jimbo la Dar es salaam mpaka sasa na bado zinaendelea kuzaliwa siku hadi siku.
ORODHA YA VIONGOZI WA DEKANIA, JIMBO KUU LA DAR ES SALAAM
NA | DEKANIA | MWENYEKITI | MAKAMU M/KITI | KATIBU | KATIBU MSAIDIZI | MHAZINI |
1. | ST. JOSEPH | CLARA KANZA 0715 598988 | MEJ.EMIL MADANDALA 0717 999901 | MICHAEL MUSHI 0754 391079 | MATHIAS MRIMI 0713 436212 | AVELIN CHUWA 0655 556674 |
2. | UBUNGO | DR. CHRISTIAN UISO 0754 284959 | DAVID LUKUBA 0657 072030 | DEOGRATIUS SALUFU 0659 237570 | AGNES OLOMI 0714 323423 | ARCADO NCHINGA 0715 264068 |
3. | KIBAHA | MICHAEL NCHIMBI 0653 427047 | PHILI HUMBIYE 0713 210839 | ROSEMARY LUCAS 0625 918988 | ADAM NYONI 0713 623869 | BETTYMWAKALINGA 0715 292310 |
4. | UKONGA | DR. DAUDI CHACHA 0754 363117 | EPHRAM KAMOYO 0713 318286 | VALENTINE MHAGAMA 0714 873088 | RAYMOND MMEWA 0767 613723 | FLORA TARIMO 0683 122602 |
5. | ST. GASPAR | ADATUS KAPESA 0754 283606 | PASSIAN KAVISHE 0754 369868 | ULRICH MWINYIEICHI 0753 498549 | SCOLASTICA MCHOME 0713 453768 | NELLY HALLA 0754 694786 |
6. | ST. PETERS | RAY MFUNGAHEMA 0786 069133 | LINUS NGOWI 0713 213102 | BONIFACE NJOMBE 0887 669266 | HILDER NYAMBO 0714 168140 | DATIVA MINJA 0713 249072 |
7. | KIGAMBONI | FRANCIS GWANKISA 0716 542229 | ELIZABETH PENGO 0755 380716 | VITUS MAZUGE 0715 585226 | AGRIPINA KIMARIO 0755 540194 | RICHARD MASANJA 0713 304051 |
8. | SEGEREA | JEREMIAH DAFFA 0713 339247 | MAGDALENA GERSON 0754 855113 | ROSE GERALD 0655 336813 | FREDERICK AKILIMALI 0763 210516 | BALTAZAR KASUBI 0762 302023 |
9. | KILIMAHEWA | ERIC MWAMBELEKO 0784 315299 | LAURENT E. MKUMBI 0715 578998 | ANTHONY BERNARD 0784 683222 | THOMAS MLIMIRA 0718 886829 | MONICA GODFREY 0713 429329 |
- Matukio
- Juinge na Kanisa
- Neno kuu la mwaka 2018
- Kalenda ya matukio 2018
- Ramani ya Tovuti
- Biblia Mtandaoni na zaidi
- Liturujia ya Kanisa Katoliki
- Mkate wa siku ya LeoLorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipisicing elit, do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore Ut enim ad minim magna aliqua”2 kor 2:16