Kalenda ya matukio 2018
MWEZI |
TAREHE |
TUKIO/SHUGHULI |
WAHUSIKA |
SEHEMU/MAHALI |
JANUARI |
01.01.2018 |
Sherehe ya Maria Mtakatifu mama wa Mungu |
Utume wa Fatima/waamini wote |
Maparokiani |
05.01.2018 |
Ushemasi |
Askofu na Mashemasi |
Kanisa kuu la Mt. Yosefu |
|
12.01.2018 |
Kumbukumbu ya Wafia Dini Wamisionari |
Waamini wote |
Kituo cha Hija Pugu. |
|
13.01.2018 |
Misa ya shukrani |
WAWATA jimbo |
Kanisa kuu la Mt. Yosefu |
|
20.01.2018 |
Hija Bagamoyo |
Lejio Mariae |
Bagamoyo |
|
FEBRUARI |
07.02.2018 |
Misa ya Shukrani- walei jimbo |
Wajumbe wa H/walei jimbo |
Parokia ya Msimbazi |
10.02.2018 |
Semina za Kidekania |
Viongozi wa H/walei – Dekania ya Kilimahewa |
Parokia ya Mt. Yosefu |
|
14.02.2018 |
Jumatano ya Majivu |
Waamini wote |
Maparokiani |
|
17.02.2018 |
Semina za Kidekania |
Viongozi wa H/Dekania ya Ukonga |
Parokia ya Mt. Yosefu |
|
24.02.2018 |
Semina za Kidekania |
Viongozi wa H/Dekania ya Kigambaoni |
Parokia ya Mt. Yosefu |
|
MARCH |
02.03.2018 |
Ibada ya Umoja wa Makanisa |
WAWATA |
AICT |
10.03.2018 |
Semina za Kidekania |
Viongozi wa H/Dekania ya Segerea |
Parokia ya Mt. Yosefu |
|
17.03.2018 |
UWAKA day |
Wanaume wote |
Kituo cha Hija Pugu |
|
17.03.2018 |
Hija |
Moyo Mt. Wa Yesu |
Kituo cha Msimbazi |
|
17.03.2018 |
Mafungo ya Kwaresma |
Viongozi wa H/walei |
Maparokiani |
|
19.03.2018 |
Sherehe ya Mt. Yosefu |
Waamini wote |
Kanisa kuu la Mt. Yosefu |
|
24.03.2018 |
Semina za Kidekania |
Viongozi wa H/Dekania ya Ubungo |
Parokia ya Mt. Yosefu |
|
25.03.2018 |
Dominika ya Matawi |
Waamini wote |
Maparokiani |
|
30.03.2018 |
IJUMAA KUU |
Waamini wote |
Maparokiani |
|
31.03.2018 |
Hija |
Arimathea |
Kituo cha Hija Pugu |
|
APRILI |
01.04.2018 |
PASAKA |
Waamini wote |
Maparokiani |
07.04.2018 |
Semina za Kidekania |
Viongozi wa H/Dekania ya Mt. Gaspar |
Parokia ya Mt. Yosefu |
|
08.04.2018 |
Mkutano wa H/walei - jimbo |
H/walei jimbo |
Parokia ya Ukonga |
|
08.04.2018 |
Sikukuu ya Huruma ya Mungu |
Moyo Mt. Wa Yesu |
Maparokiani |
|
21.04.2018 |
Hija |
Mt. Vincent de Paul |
Kituo cha Hija Pugu |
|
21.04.2018 |
Semina za Kidekania |
Viongozi wa H/Dekania ya Mt. Petro |
Parokia ya Mt. Yosefu |
|
MEI |
01.05.2018 |
Hija – uzinduzi wa Mwezi wa Maria |
Wanaume wote (UWAKA) |
Kituo cha Hija Pugu |
05.05.2018 |
Semina ya H/walei jimbo |
Viongozi wa H/Dekania za Mt. Petro,Mt. Gaspar, Ubungo na Kibaha |
Parokia ya Mt. Yosefu |
|
12.05.2018 |
Semina ya H/walei jimbo |
Viongozi wa H/Dekania za Kigamboni, Kilimahewa, Mt. Petro, Ubungo, Ukonga na mt. Yosefu |
Parokia ya Mt. Yosefu |
|
13.05.2018 |
Kongamano la Maadili na Neno la Mungu |
Wazee na Wastaafu |
Itatangazwa |
|
20.05.2018 |
PENTEKOSTE |
Halmashauri ya walei |
Maparokiani |
|
26.05.2018 |
Hija ya Wanawake Wakatoliki |
WAWATA |
Kituo cha Hija Pugu |
|
JUNI |
03.06.2018 |
EKARISTI |
Waamini wote |
Maparokiani |
08.06.2018 |
Sikukuu ya Moyo Mt. Wa Yesu |
Moyo Mt. Wa Yesu |
Maparokiani |
|
09.06.2018 |
Hija |
Moyo Mt. Wa Yesu |
Kituo cha Hija Pugu |
|
16.06.2018 |
Semina za Kidekania |
Viongozi wa H/Dekania yaKibaha |
Parokia ya Mt. Yosefu |
|
23.06.2018 |
Semina za Kidekania |
Viongozi H/dekania ya Mt. Yosefu |
Parokia ya Mt. Yosefu |
|
24.06.2018 |
Moyo Mt. Wa Yesu |
Hija |
Kituo cha Hija Pugu |
|
22-25.6.2018 |
Hija wanawake wakatoliki |
WAWATA |
Zanzibar |
|
10.06.2018 |
Hija |
Arimathea |
Bagamoyo |
|
JULY |
01.07.2018 |
Mkutano wa Halmashauri ya walei – jimbo |
Kamate Tendaji – jimbo |
Itatangazwa |
07.07.2018 |
Upadrisho |
Kamati ya upadrisho - jimbo |
Itatangazwa |
|
10.06.2018 |
Hija |
Arimathea |
Bagamoyo |
|
14.07.2018 |
Semina za Kidekania |
Viongozi wa H/Dekania ya Kilimahewa |
Parokia ya Mt. Yosefu |
|
21.07.2018 |
Hija |
SSVP |
Bagamoyo |
|
25-29.7.2018 |
Ziara ya H/jimbo kujifunza kutoka majimbo mengine (Malezi ya Familia/JNNK na kutegemeza Utume wa Walei |
Kamati Tendaji – jimbo |
Itatangazwa |
|
31.07.2018 |
Kongamano la Ekaristi |
CPT |
Itatangazwa |
|
AGOSTI |
04.08.2018 |
Semina za kidekania |
Viongozi H/dekania ya Ukonga |
Parokia ya Mt. Yosefu |
05.08.2018 |
Siku ya kumwombea Askofu wa jimbo – Mwadhama (Birthday) |
Waamini wote |
Maparokiani |
|
11.08.2018 |
Semina za kidekania |
Viongozi wa H/dekania ya segerea |
Parokia ya Mt. Yosefu |
|
15.08.2018 |
Kupalizwa mbinguni Bikira Maria |
Walejio |
Parokia ya Manzese |
|
18.08.2018 |
Semina za kidekania |
Viongozi wa H/walei dekania ya Kigamboni |
Parokia ya Mt. Yosefu |
|
25.08.2018 |
Ziara ya Malezi Visiga |
WAWATA jimbo |
Seminari ndogo ya Visiga |
|
28.08.2018 |
Sikukuu ya Mt. Augustino |
Wazee na Wastaafu |
Maparokiani |
|
SEPTEMBA |
01.09.2018 |
Semina za kidekania |
Viongozi wa H/walei - jimbo |
Parokia ya Mt. Yosefu |
14.09.2018 |
Sikukuu ya kutukuka kwa Msalaba na Hija Pugu kuona nakala halisi ya Sanda ya Yesu |
Waamini wote |
Kituo cha Hija Pugu |
|
15.09.2018 |
Hija |
Wazee na Wastaafu |
Bagamoyo |
|
22.09.2018 |
Semina za kidekania |
Viongozi wa H/dekania ya Mt. Petro |
Parokia ya Mt. Yosefu |
|
30.09.2018 |
Kumbukumbu ya Mt. Vincent wa Paul |
SSVP |
Itatangazwa |
|
OKTOBA |
07.10.2018 |
Mkutano wa halmashauri ya walei - jimbo |
Halmashauri ya walei - jimbo |
Itatangazwa |
13.10.2018 |
Hija |
Scout |
Kituo cha Hioja Pugu |
|
13.10.2018 |
Semina za kidekania |
Viongozi wa H/dekania ya Mt. Petro |
Parokia ya Mt. Yosefu |
|
14.10.2018 |
Siku ya UWAKA kufanya ziara na kuwatembelea Dada Wadogo |
UWAKA - jimbo |
Nyumba ya Dada Wadogo – Mbagala. |
|
20.10.2018 |
Semina za kidekania |
Viongozi wa H/dekania ya Kibaha |
Parokia ya Mt. Yosefu |
|
28.10.2018 |
Hija |
Moyo Mt. Wa Yesu |
Bagamoyo |
|
NOVEMBA |
01.11.2018 |
Watakatifu wote |
SHIVYAKI |
Magomeni |
02.11.2018 |
Marehemu wote |
Misa Takatifu |
Maparokiani |
|
03.11.2018 |
Semina ya H/walei - jimbo |
Viongozi wa H/dekania ya Kigamboni, Kilimahewa, Mt. Yosefu, Ukonga na Segerea |
Parokia ya Mt. Yosefu |
|
10.11.2018 |
Semina ya walei jimbo |
Viongozi wa H/dekania ya Mt. Petro, mt. Gaspar, Ubungo na Kibaha |
Parokia ya Mt. Yosefu |
|
17.11.2018 |
Semina juu ya mavuno na tegemeza jimbo |
Kamati ya Tegemeza jimbo |
Kituo cha Msimbazi |
|
24.11.2018 |
Siku ya Mavuno Kijimbo |
Kamati ya Tegemeza jimbo na H/walei |
Kituo cha Msimbazi |
|
25.11.2018 |
Sikukuu ya Bwana wetu Yesu Kristo Mfalme |
Waamini wote |
Maparokiani |
|
DISEMBA |
01.12.2018 |
Hija |
WAWATA |
Bagamoyo |
02.12.2018 |
Mkutano wa H/walei - jimbo |
Halmashauri ya walei - jimbo |
Itatangazwa |
|
08.12.2018 |
Semina za kidekania |
Viongozi wa H/dekania ya Mt. Yosefu |
Parokia ya Mt. Yosefu |
|
08.12.2018 |
Nadhiri za Utawa – Dada Wadogo wa Mt. Fransisko wa Azizi |
Utume wa Wanaume katoliki - jimbo |
Nyumba ya Dada Wadogo wa Fransisko wa asizi – Mbagala. |
|
09.12.2018 |
Sherehe ya B/M Mkingiwa Dhambi ya asili – Msimbazi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania |
Waamini wote |
Maparokiani |
|
25.12.2018 |
CHRISTMAS |
Waamini wote |
Maparokiani |
|
26-28.12.2018 |
Kongamano na Misa ya shukrani |
Watumishi wa Altare |
Visiga Seminari |
|
28.12.2018 |
Utoto Mtakatifu |
Kituo cha msimbazi |
||
31.12.2018 |
Beach Mass |
Vijana wote |
Mbweni Beach |
|
31.12.2018 |
Mkesha wa mwaka mpya |
TYCS |
Don Bosco |
ANGALIZO:
- Muda wa matukio yaliyoorodheshwa au mabadiliko ya tarehe yatatangazwa kabla ya tukio lenyewe.
- Mikutano, vikao au matukio ya dharura yatatangazwa kwa wakati ufaao.
- Kamati Tendaji ya Halmashauri ya Walei Jimbo hukutana kila Jumanne ya kwanza ya mwezi.
- Matukio
- Juinge na Kanisa
- Neno kuu la mwaka 2018
- Kalenda ya matukio 2018
- Ramani ya Tovuti
- Biblia Mtandaoni na zaidi
- Liturujia ya Kanisa Katoliki
- Mkate wa siku ya LeoLorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipisicing elit, do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore Ut enim ad minim magna aliqua”2 kor 2:16