KUHUSU HALMASHAURI YA WALEI
Dekania
Dekania ya Kilimahewa

Ki-geografia, eneo kuzunguka Dekania ya Kilimahewa lipo kusini mwa  jiji la Dar es Salaam, ikijumuisha maeneo ya Vikindu, Mkuranga, Kisiju pwani, Kilimahewa, Kibiti, Ikwiriri, Rufiji na Utete. Asilimia kubwa ya wakazi ni waumini wa dini ya Kiislamu. Hujishughulisha na uvuvi, kilimo cha korosho, mihogo, Mananasi na Mafenesi.

Maeneo kuzunguka Dekania ya kiliimahewa yanakaliwa zaidi na watu wa makabila ya Kizaramu, Waluguru, Wamakonde na wandengereko. Parokia zilizoko katika Dekania hii bado nyingi hazijamudu kujisimamia zenyewe kutokana na watu na mazingira

Dekano ndiye msimamizi wa Dekania ya Kilimahewa kwa kushirikiana na Kamati Tendaji ya Halmashauri Walei Dekania na viongozi wa Kamati Tendaji za Halmashauri walei Parokia.

Dekania ni kiunganishi kikubwa kati ya Parokia katika kupanga malengo yahusuyo dekania katika kumsaidia Askofu wa Jimbo ili kufanikisha shughuli za kichungaji

Dekano
Madekano - Dekania ya Mtakatifu Yohane wa xxiii - Kilimahewa

Madekano Dekania ya Mtakatifu Yohane wa xxiii - tokea kuundwa kwake.

·       Padre Tito Rwegoshora – Dekano --- 2024-----

-       Pd. wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam 

·       Padre (Names)

*     Padre (Shirika)

·       Padre (Names)

*     Padre (Shirika)

Dekania....

Maelezo ya mawasiliano
Pd. Tito Rwegoshora
Mkuu wa Dekania ya Kilimahewa
Phone : 0717 525965


Viongozi wa Dekania
PETER R. MALUJO
MWENYEKITI KAMATI TENDAHI HALMASHAURI WALEI DEKANIA YA KILIMAHEWA
Phone : 0752 812937
GERALD MASHIMBA
MAKAMU M/KITI, KAMATI TENDAJI HALMASHURI WALEI DEKANIA YA KILIMAHEWA
Phone : 0682 955940
LETICIA T. MWAKAILA
KATIBU, KAMATI TENDAJI HALMASHAURI WALEI DEKANIA
Phone : 0783 772585
PATRIC M. RAMBAU
KATIBU MSAIDIZI KAMATI TENDAJI HALMASHAURI WALEI DEKANIA YA KHEWA
Phone : 0629 455645
VALENTINA H. SHIJA
MTUNZA FEDHA KAMATI TENDAJI DEKANIA YA KILIMAHEWA
Phone : 0788 522898