Dar es Salaam
Usaidizi wa Wateja
Ni chombo cha Halmashauri ya Walei chenye jukumu la kutekeleza yale yaliyoamuliwa katika mikutano ya Halmashauri Walei katika kila ngazi na kupata ridhaa ya uongozi wa Kanisa. Pia ni chombo kinachobuni mipango ya utendaji, Sera za Halmashauri na kuwasilisha kwenye vikao vya juu yake kwa majadiliano na uamuzi. Kama ilivyoelezwa katika kipengele Na.II, uamuzi huu hupelekwa kwenye vyombo vya juu vya mamlaka ya Kanisa kama mapendekezo. Katika vikao vyake vyombo vya mamlaka hiyo hutoa uamuzi na kuupeleka kwa Halmashauri Walei kwaajili ya utekelezaji (Rej Katiba ya Halmashauri Walei sehemu ya iii, uk vii ). Askofu wa Jimbo ndiye mwenye maamuzi na mamlaka ya mwisho kwa shughuli zote za Utume wa Walei katika Jimbo. (Rej Sura ya 2.1.8 ya Katiba uk 4).
Wafuatao ni Viongozi wa Kamati Tendaji ya Halmashauri walei Jimbo;
Data Filters
| # | |
|---|---|
| No records found .... | |