Dar es Salaam
Usaidizi wa Wateja
Mtaguso wa II wa Vatikano kuhusu hati juu ya Utume wa Walei unasema: "Utume wa Walei hauwezi kutoweka kamwe katika Kanisa "(AA1). Kwa kuzingatia hilo na kwa kuzingatia kukua kwa teolojia ya Utume wa wa Walei kwamba "Walei sio tu wapo ndani ya Kanisa bali vilevile wao ni Kanisa (CL9), Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania tangu mwanzo limeenzi ushirikiano mzuri kati ya Walei na Hierakia
Aidha, Kanisa Katoliki Tanzania linatambua kuwa, Uinjilishaji wa Kanisa hauwezi kukamilika bila mchango wa Walei, na kwamba Jumuiya Ndogo Ndogo za Kikristo ni moja ya njia bora kabisa ya Uinjilishaji (AMECEA 2002;41) na kujenga Kanisa lililo Familia ya Mungu (EA 89)
| # | Document Title | Size | Actions |
|---|---|---|---|
| 1. | Historia Ya Halmashauri Walei | 228.7 Kb |