Dar es Salaam
Usaidizi wa Wateja
"Jubilei ya miaka 75 ya Jimbo Kuu la Dar es Salaam - Tufanywe upya na Roho Mtakatifu
- Mkurugenzi Idara ya Utume wa Walei Jimbo Kuu la Dar es Salaam
- Padre wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam
- Paroko – Parokia ya Mtakatifu Teresia wa Mtoto Yesu - Viwege. Dekania ya Pugu
- Mjumbe wa Kamati ya Mavuno ya Jimbo Kuu la Dar es Salaam
- Mjumbe Kamati ya Matukio ya Jimbo
Semina ya Uongozi Uchaguzi wa UWAKA Jimbo
Sifa za Kiongozi Katika Kanisa
Uchaguzi wa Viongozi Halmashauri Walei Jimbo
Uongozi ni Utumishi
Uchaguzi wa Viongozi Halmashauri Walei Jimbo
Uongozi ni Utumishi
Kumsaidia Askofu Mkuu wa Jimbo katika kutimiza jukumu lake la kichungaji.
Kusimamia, Kuratibu, Kuchukua maelekezo kutoka uongozi wa juu wa Jimbo na Wasaidizi wake na kutoa ufafanuzi kwa Walei.
Kiunganishi muhimu kati ya Walei, Hierakia na Idara mbalimbali za Jimbo
Majukumu mengine; Uinjilishaji, Kutembelea parokia, kufanya tathmini, Kusimamia chaguzi, Uratibu wa Matukio mbalimbali, Mikutano ya Utekelezaji, Mafungo kwa viongozi, Uhamasishaji (mfano Mavuno n.k), Semina -mfano za; Uongozi, Katiba, Imani n.k. Pia husimamia Vyama vya Kitume kwa kushirikiana na Makleri
14/11/2025
14/11/2025
14/11/2025
14/11/2025
14/11/2025
14/11/2025
14/11/2025
14/11/2025
14/11/2025
14/11/2025
14/11/2025
14/11/2025
14/11/2025
Warsha ya waamini 2024
06/09/2025
mbepe ya Altare
06/09/2025