KUHUSU HALMASHAURI YA WALEI
Uongozi
Utawala & Utendaji

   "Jubilei ya miaka 75 ya Jimbo Kuu la Dar es Salaam - Tufanywe upya na Roho Mtakatifu 

Pd. Hamilton Kikoti
Chancellor
Jimbo Kuu la Dar es Salaam

Padre wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam

Chancellor wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam

Paroko Msaidizi wa Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu Jimbo Kuu la Dar es Salaam.

Majukumu

  • Mratibu shughuli za kila siku za ofisi ya jimbo.
  • Msimamizia na mtunzaji wa kumbukumbu na nyaraka rasmi za jimbo.
  • Mratibu na mtekelezaji wa maamuzi ya Askofu.

  • Kiungo cha mawasiliano kati ya Askofu, maparokia, taasisi na jumuiya mbalimbali.
  • Huandaa matangazo, kupokea na kusambaza taarifa rasmi za jimbo kwa maelekezo ya Askofu .

  • Huandaa mikutano ya viongozi wa jimbo na kufuatilia utekelezaji wa maazimio
  • Huratibu shughuli za kichungaji na kufuatilia ratiba za shughuli za jimbo
Similar Profiles