KUHUSU HALMASHAURI YA WALEI
Rasilimali
Mavuno Jimbo

Tegemeza Jimbo

Baada ya kutangazwa Jimbo la Dar es Salaam, shughuli za uendeshaji zlilitegemea zaidi misaada toka nje. Wazo la kutegemeza Jimbo lilipoanza, bado Parokia zilikuwa chache yapata 24 hivi na idadi ya waamini ilikuwa ndogo ukilinganisha na hivi sasa.

Kati ya 1990 jukumu la kutegemeza Jimbo bila kugetemea misaada lilipewa msukumo mkubwa na kuzidi kuimarika zaidi miaka ya 1994 kwa kuwashirikisha waamini Walei. Kuanzia miaka ya 2021  makundi mengine yalianza kushirikishwa yakiwemo Mashirika ya kitawa yanayofanya kazi ndani ya Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Shule, vyama, Mashirika na Jumuiya za Kitume (VMJ).

Utaratibu huu umeonyesha kuzaa matunda siku hadi siku. Siku ya Mavuno/ Tegemeza Jimbo ni siku muhimu sana kwa Jimbo la Dar es Salaam, kwani ndio hutoa mwelekeo katika uendeshaji wa shughuli za Kichungaji, hutekelezwa kwa njia ya uchangiaji makhsusi wa fedha ambazo huingia kwenye bajeti ya Jimbo kwaajili ya kuwezesha shughuli za Jimbo


Kamati ya Viongozi
Elionora Mlai
MAKAMU MWENYEKITI
Tel : 0713 133998
Marselino Kayombo
KATIBU
Tel : 0767 279777
Mhashamu. Vincent Lawrence Mpwaji
Askofu Msaidizi
Jimbo Kuu la Dar es Salaam
Year Elected : 2026
Click Here to See the profile