Dar es Salaam
Usaidizi wa Wateja
Kwa mujibu wa Katiba ya Halmashauri Taifa, zipo Kamati mbalimbali za Kikatiba na za Kitaaluma (Kamati zisizo za Kikatiba) ili kuboresha na kurahisisha upatikanaji wa huduma bora zaidi pamoja na maendeleo katika eneo mahalia ndani ya Jimbo. Majukumu ya kila Kamati za Kikatiba na zisizo za Kikatiba yameainishwa kwenye Katiba ya Halmashauri Walei Katoliki Tanzania kama ilivyoonyeshwa hapo chini;.