Dar es Salaam
Usaidizi wa Wateja
Ofisi ya Mkurugenzi Utume wa Walei
Siku za Ofisi
Kwa wageni wanaohitaji kuonana na Mkurugenzi.
- Jumanne: Kuanzia Saa 05: 00 Asubuhi -- Saa 08: 00 Mchana
- Ijumaa : Kuanzia Saa 05: 00 Asubuhi -- Saa )8 : 00 Mchana
Kwa siku nyingine, Mkurugenzi anaweza kupatikana ofisini endapo kutakuwa na:
- Mikutano maalumu iliyopangwa;
- Dharura zinazohitaji usimamizi wake;
- Majukumu mengine ya kikazi yaliyopangwa na taasisi.
Muhimu:
- Kwa wanaohitaji Kumwona tofauti na siku zilizoainishwa hapo juu wawasiliane naye kupitia mawasiliano yake yanayoonekana hapo.
- Wageni watapokelewa kulingana na miadi na utaratibu wa ofisi.
- Kupata maelekezo, tafadhali wasiliana kupitia;
Ofisi ya mapokezi au - 0714 867848
Mratibu Halmashauri Walei Jimbo - 0766 460043
Ofisi ya Kamati Tendaji Halmashuri Walei Jimbo
Tunsifu Yesu Kristu....
Je, Ungependa kuwasiliana na kiongozi yupi?
Kwa mawasiliano na kiongozi yeyote wa Kamati Tendaji Halmashauri Walei Jimbo Kuu la Dar es Salaam; [ Mwenyekiti ], [ Makamu Mwenyekiti ], [ Katibu ], [ Katibu Msaidizi ] au [ Mtunza Hazina ]
Ingia - KUHUSU SISI - kisha - (KAMATI TENDAJI) ili kuwasiliana na kiongozi unaye mtaka
- Saa za kazi. Ni muda wowote – wasiliana na kiongozi kadiri ya hitaji lako
- Namba za mawasiliano. Rejea Kwenye Kamati Tendaji Halmashauri Walei Jimbo
Ofisi ya Mapokezi
Karibu Ofisi ya Mapokezi Halmashauri Walei Jimbo
Tutakuongoza taratibu za kupata huduma zetu
Siku za Huduma
- Jumatatu – Ijumaa: Muda - 2:00 Asubuhi – 10:00 Jioni
- Jumamosi/Jumapili: Ofisi haziko wazi isipokuwa kwa dharura
- Sikukuu za umma: Ofisi zinafungwa isipokuwa kwa Dharura
Mahali ilipo
- Jengo: Ilipokuwa Benki ya Mkombozi kabla ya kuhamia jengo jipya
- Wapi ?: Flow ya kwanza imepakana na Caritus
- Anwani ya Posta: Halmashauri Walei Jimbo Kuu la Dar es Salaam, S.L.P 167
Mawasiliano
- Simu: 0714 867848/0766 460043
- Barua pepe: waleidaresalaam@gmai.com
- Website: https://dawalei.or.tz
Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara (FAQ)
- Je, wageni wanatakiwa kujisajili? Jibu ni (Ndio) kupitia walinzi
- Je, miadi inahitajika kabla ya kutembelea ofisi? Jibu ni; Sio lazima isipokuwa kwa Mkurugenzi na Kamati tendaji
- Ninawezaje kupata maelekezo ya idara fulani? Ni kwa kupiga simu kupitia mawasiliano yaliyoainishwa kwenye [menyu] ya idara husika hapo juu. kwa msaada unaweza uliza ofisi ya Mapokezi au Mratibu Wale Jimbo
- Saa za mapokezi ni zipi? – kuanzia saa 2:00 Asubuhi Mpaka Saa 10:00 Jioni
Mawasiliano
Ofisi ya Mratibu
Kristu....
Tupo unapo tuhitaji, Tupo pamoja.
Siku za Huduma
- Jumatatu – Ijumaa: Muda - 8:00 Asubuhi – 4:00 Jioni
- Jumamosi/Jumapili: Ofisi haziko wazi isipokuwa kwa dharura
- Sikukuu za umma: Ofisi zinafungwa isipokuwa kwa Dharura
Mahali Tulipo
- Jengo: Ilipokuwa Benki ya Mkombozi kabla ya kuhama jengo jipya
- Wapi: Flow ya kwanza ilipoandikwa Halmashauri ya Walei
- Anwani ya Posta: Halmashauri Walei Jimbo Kuu la Dar es Salaam, S.L.P 167
Kwa Mawasiliano
- Simu: 0766 460043
- Barua pepe: waleidaresalaam@gmai.com
- Website: https://darwalei.or.tz
Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara (FAQ)
- Je, wageni wanatakiwa kujisajili? Jibu ni (Ndio) kupitia walinzi waliopo mlangoni
- Je, miadi inahitajika kabla ya kutembelea ofisi? Jibu ni; Sio lazima isipokuwa kwa jambo maalumu.
- Ninawezaje kupata maelekezo ya idara fulani? Ni kwa kupiga simu kupitia mawasiliano yaliyoainishwa kwenye [Menyu] ya Idara husika hapo juu. kwa msaada unaweza kuuliza ofisi ya walei
- Saa za mapokezi ni zipi? – kuanzia saa 2:00 Asubuhi Mpaka Saa 10:00 Jioni
Mawasiliano
Data Filters
The Archive Data is not available at this time.