Dar es Salaam
Usaidizi wa Wateja
Jimbo Kuu la Dar es Salaam (kwa Kilatini Archidioecesis Daressalaamensis) ni mojawapo kati ya majimbo 34 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania. Chini yake kuna kanda ya Kanisa yenye majimbo matano ambayo ni: Zanzibar, Tanga, Morogoro, Mahenge na Ifakara. Jimbo hili lilianzishwa kama Apostolic Prefecture kutoka Apostolic Vicariate ya Nairobi mnamo tarehe 16 Novemba, 1887. Mnamo tarehe 15 Septemba, 1902 lilipandishwa hadhi na kuwa Apostolic Vicariate ya Dar es Salaam, na tarehe 25 Mach 1953 lilifanywa kuwa Jimbo Kuu. Kwa sasa, Jimbo linaongozwa na Askofu Mkuu Yuda Thaddeus Ruwa’ichi tangu 2019.
Data Filters
The Archive Data is not available at this time.