Dar es Salaam
Usaidizi wa Wateja
Dekania zina nafasi muhimu katika muundo wa Halmashauri Walei kiutawala zikihudumu kama vituo vya kikanda vinavyounganisha parokia kati yake na waamini katika eneo maalumu la kijiografia. Dekano ndiye msimamizi wa dekania mahalia
Kwa Kawaida Dekano
ni padre anayeteuliwa na Askofu wa JImbo ili kusimamia na kuratibu Parokia ndani ya eneo maalumu
linaloitwa Dekania (Deanery). Lakini bado huendelea kuwa Paroko wa
parokia yake. Hufanya kazi kwa niaba ya Askofu na chini ya mamlaka ya Askofu wa
Jimbo ili kuratibu shughuli za Kichungaji na kiutawala kwa kushirikiana na makasisi wenzake
na viongozi Walei.