KUHUSU HALMASHAURI YA WALEI
Uinjilishaji
Hija kwa Walei

Hija ni safari ya kiroho kuelekea mahali patakatifu au penye umuhimu wa pekee wa imani, kwa lengo la kumkaribia Mungu, kwaajili ya kusali, kutafakari, kufanya toba, na kujiimarisha kiimani. (Zaburi 84:5–6), (Zaburi 122:1–4)

Ili kushiriki hija ipasavyo, ni muhimu kutambua ni wapi ambapo ungependa kwenda kwaajili ya kukamilisha hija yako,  ndani ya nchi au nje ya nchi. Tuna kukaribish kufuatilia ukrasa wetu unaohusu hija ili uweze kufahamu maeneo mbalimbali ya hija ndani na nje ya nchi ili kujiimarisha kiroho.

Maeneo Yanayofikiwa
Ndani ya Nchi

Kiuhalisia yako maeneo mbalimbali yaliyoandaliwa kwaajili ya hija karibu kila Jimbo. cha msingi ni ile dhamira ya dhati ambayo mtu mwenyewe anapaswa kuwa nayo kwaajili ya kujiweka vyema kiroho. Dar es Salaam kwa mfano; yako maeneo kama Pugu, San Damiano (Padre Pio Shrine) Msimbazi, Konsolata Mision, St. Joseph Cathedral, Segerea, Mburahati na Maeneo mengine mengi

OFFICIAL CONTACTS
Pilgrimage Coordinator Committee

Kamati ya Kuratibu Hija ni chombo kinachosimamia na kuratibu shughuli za hija ndani ya Jimbo Kuu la Dar es Salaam. Kamati hii inahakikisha kuwa waumini wanapata huduma bora za kiroho, ushauri, na msaada katika safari zao za hija ndani na nje ya nchi.

Fr. Gerald Kamina
Idara ya Kichungaji - Mob. 0756 998680
Fr. Vitalis Kassembo
Idara ya Walei. Mob. 0787 188501
Ndg. Cletus Majani
Msaidizi - Hija - Mob. 0713 429667
Ndg. Paschal G. Mtaki
Taarifa Kuhusu Hija - Mob. 0766 460043
Official Pilgrimage Travel Agent
RAISSA CO LTD
RAISSA CO LTD
Call Us
0754 940950
Email
paschalg64@gmail.com
Location
KINONDONI
Maeneo Yanayofikiwa
Uinjilishaji Jimbo la Dar es Salaam

Uinjilishaji kupitia Utume wa Walei ni msingi wa kazi ya Kanisa. Kupitia mipango ya kutakatifuza malimwengu, vyombo vya habari, na mafunzo mbalimbali, waumini wanashiriki kikamilifu katika kueneza Injili ndani ya Dekania za Jimbo letu.