KUHUSU HALMASHAURI YA WALEI
Idara ya Walei Michezo

Michezo na Maendeleo ya Vipaji

Taasisi yetu inaamini katika kukuza vipaji, afya, ushirikiano na nidhamu kupitia michezo. Tunashiriki mashindano mbalimbali kupitia timu zetu za mpira wa miguu, netball, voliboli na mpira wa kikapu.

Kuhusu Michezo
Idara ya Walei Michezo

Idara ya Walei Michezo inasimamia shughuli zote za michezo ndani ya taasisi. Lengo letu ni uinjilishaji, kukuza vipaji, kujenga afya bora, kutoa ajira na kuwaweka watu pamoja ili kuleta mshikamano kupitia ushiriki wa michezo mbalimbali.

15+
Makombe Tuliyoshinda
200+
Wanachama wa Michezo
Timu Zetu
St. Joseph Cathedral Sports Club
Logo
  • 25 Wachezaji
  • Kocha Mkuu: Jeremiah Ladislaus
  • Ruwaich Cup
  • Mabingwa wa mkoa msimu uliopita
St. Joseph Cathedral Sports Club— Vijana
Logo
  • 22 Wachezaji
  • Kocha: John Doe
  • Programu ya kukuza vipaji vya vijana
  • Wameendelea hatua ya nusu fainali
St. Joseph Cathedral Sports Club
Logo
  • 15 Wachezaji
  • Kocha Mkuu: - - -
  • Mashindano ya netball ya majimbo
  • Wamefuzu hatua ya robo fainali
Mafanikio Yetu
15+
Makombe Tuliyoshinda
200+
Wanachama wa Michezo
3
Timu Zinazoshiriki Mashindano
10+
Miaka ya Ushiriki
Ratiba ya Mechi Zijazo
Tarehe Mechi Mahali
15 Julai 2026 WakubwaVSABC FC Uwanja Mkuu
22 Julai 2026 Netball WanawakeVSXYZ Queens Ukumbi wa Michezo
30 Julai 2026 VijanaVSYouth Stars Uwanja wa Mafunzo
05 Agosti 2026 WakubwaVSMighty Warriors Uwanja Mkuu
09 Agosti 2026 Netball WanawakeVSSimba Netball Ukumbi wa Michezo
12 Agosti 2026 VijanaVSKairos FC Uwanja wa Mafunzo
Wasiliana na Idara ya Walei Michezo
Mratibu wa Michezo
Mratibu wa Michezo