Dar es Salaam
Usaidizi wa Wateja
St. Joseph Cathedral Sports Club
St. Joseph Cathedral Sports Club sasa tupo uwanjani. Ni timu mpya iliyoanzishwa hivi karibuni,inalenga kuendeleza vipaji, kuleta umoja na mshikamano, maadili mema kujenga urafiki, nidhamu na afya bora ya mwili miongoni mwa wanachama. Timu hii itawezesha walengwa kutumia vipaji vyao kwa njia chanya na yenye manufaa Kupitia michezo. Tunawaalika wanachama wote kushiriki na kuiunga mkono timu yetu ili iweze kufikia mafanikio makubwa. Kwa pamoja, tutaifanya timu hii kuwa chanzo cha fahari kwa kanisa letu. Mungu aibariki timu yetu na jitihada zote zinazofanywa kwa maendeleo yake.
- Mabingwa wa mkoa — msimu uliopita
- Washindi wa kombe la kanisa (mara 3)
- Wamiliki wa nidhamu bora ligini
| Tarehe | Mpinzani | Mahali |
|---|---|---|
| 15 Julai 2026 | WakubwaVSABC FC | Uwanja Mkuu |
| 05 Agosti 2026 | WakubwaVSMighty Warriors | Uwanja Mkuu |