KUHUSU HALMASHAURI YA WALEI
Uongozi
Utawala & Utendaji

   "Jubilei ya miaka 75 ya Jimbo Kuu la Dar es Salaam - Tufanywe upya na Roho Mtakatifu 

Cletus Majani
Ofisa Mahusiano
Jimbo Kuu la Dar es Salaam

Neno lako ni taa ya miguu yangu na mwanga katika njia zangu (Zab 119:105

*     Mwamini Mlei

*     Muumini katika Parokia ya Mtakatifu  Polycarp Askofu na Shahidi - Kilamba. Dekania ya Mbagala

*     Afisa Mahusiano Jimbo Kuu la Dar es Salaam 

*     Mwenyekiti na Mlezi wa Utoto Mtakatifu, Jimbo Kuu la Dar es Salaam

 

Afisa Mahusiano (Public Relations Officer – PRO) 

  1. Anahusika kutoa taarifa rasmi (taarifa kwa vyombo vya habari, matangazo, taarifa za matukio).
  2. Kulinda jina na hadhi ya taasisi, hasa nyakati za changamoto.
  3. Kusaidia kutoa msimamo rasmi wakati wa tuhuma, ajali, au migogoro.
  4. Kuratibu mawasiliano ya matukio makubwa ya Kanisa (sikukuu, sherehe,ziara za Askofu, Jubilei na hata kampeni za uhamasishaji.
  5. Ushirikiano wa taasisi za Kanisa – Shule, hospitali, parokia na mashirika ya Kanisa
  6. Kuratibu mawasiliano ya matukio makubwa ya Kanisa (sikukuu, mahafali, ziara za Askofu, jubilei).
  7. Kutoa taarifa kabla n ahata baada ya matukio ndani ya Jimbo

Afisa Mahusiano ni kiungo muhimu kati ya Kanisa, waumini, Vyombo vya usalama wa raia, Uhamiaji na jamii, 

Similar Profiles