KUHUSU HALMASHAURI YA WALEI
Dekania
Dekania ya Makuburi

Dekania ya Makuburi ilizaliwa kutoka Dekania ya Ubungo wakati huo ikihusisha parokia za chuo kikuu, Ubungo Msewe, Manzese, Tandale, Makuburi, Kimara, Luhanga, Kibangu, Makoka, Kilungule, Tabata Kisiwani, Nzasa, Michungwani, Changanyikeni na Kimara mtoni.

Baada ya shughuli za kichungaji kupanuka zaidi, Mwashamu Jude Thaddaeus Ruwaichi, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam aliona umuhimu wa kuigawa Dekania ya Ubungo mwaka 2020 na kuunda Dekania ya Makuburi.Baba Askofu Mkuu alimteua Fr. Joseph Mapunda, Paroko wa Kibangu kuwa Dekano wa Dekania ya Makuburi.

Kwa sasa Dekania inaundwa na parokia (13) ambazo ni ; Makuburi, Kibangu, Makoka, Kilungule, Luhanga, Nzasa, Tabata Kisiwani, Kimara Baruti, Kimara Mtoni, Kimara Kana, Bunyokwa, Mabibo na Parokia Teule ya Ukombozi .

Dekano wa Sasa ni Padre Gerald Kamina, paroko wa Tabata Kisiwani Jimbo Kuu la Dar es Salaam 

Dekano
Uongozi ni Utumishi

Madekano Dekania ya Mtakatifu Vincent wa Paul - tokea kuundwa kwake.

·       Padre Josep Mapunda – Dekano --- 2020----- 2025

-      Pd. wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam 

·       Padre Gerald Kamina --Dekano  2025........

*     Padre wa Jimbo la Dar es Salaam.

·       Padre (Names)

Maelezo ya mawasiliano
Pd. Gerald Kamina
Mkuu wa Dekania ya Makuburi
Phone : 0756998680


Viongozi wa Dekania
DR. JOSEPH T. KLERRUU
MWENYEKITI. KAMATI TENDAJI HALMASHURI WALEI DEKANIA YA MAKUBURI
Phone : 0659237570
STEPHEN CHUWA
MAKAMU M/KITI, KAMATI TENDAJI HALMASHURI WALEI DEKANIA YA MAKUBURI
Phone : 0718 033360
FLORA MARO MGALA
KATIBU, KAMATI TENDAJI HALMASHURI WALEI DEKANIA YA MAKUBURI
Phone : 0713 417774
JUSTINE MUYINGA
KATIBU MSAIDIZI, KAMATI TENDAJI HALMASHURI WALEI DEKANIA YA MAKUBURI
Phone : 0767 284046
ANNA KAVISHE
MTUNZA FEDHA, KAMATI TENDAJI HALMASHURI WALEI DEKANIA YA MAKUBURI
Phone : 0754 298155
ORODHA YA PAROKIA
Parokia za Dekania hii