KUHUSU HALMASHAURI YA WALEI
Dekania
Dekania ya Mbagala

Mwaka 2020, Askofu Mkuu, Mhashamu Judde Thaddaeus Ruwa’ichi alitangaza kuigawa Dekania ya Kigamboni na kuunda Dekania mpya ya Mt. Anthony wa Padua Mbagala.

Kwa sasa Dekania inaundwa na parokia zipatazo kumi na tatu (13) ambazo ni; Kijichi, Kizuiani, Kizinga, Mbagala Kuu, Mbande, Chamazi, Kilamba, Majimatitu na Msongola A. Parokia zanazounda Dekania ya mbagala zinapatikana kusini mwa jiji la Dar es Salaam kuelekea barabara ya Kilwa .

Askofu Mkuu amemteua Pd. Casmir Kavishe  kuwa msimamizi wa Dekania ya Mbagala kwa kushirikiana na Kamati Tendaji ya Halmashauri Walei Dekania na viongozi wa Kamati Tendaji za Halmashauri walei Parokia. 

Eneo la Mbagagala lina sifa miongoni mwa maeneo yaliyojaa watu wengi waliochangamana, na pia kuwepo na biashara ndogondogo,

Dekano
Madekano Dekania ya Mt. Antony wa Padua -Mbagala

Madekano Dekania ya Mt. Antony wa Padua -Mbagala tokea kuundwa.

·       Padre Casmir Kavishe – Dekano --- 2020-----

§  Pd. Wa Shirika la Ndugu Wafransisko Wakapuchini OFM Cap

 

·       Padre Beno Kikudo –

*     Padre wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam

·       Padre Nicolaus Masamba

*     Padre wa Jimbo Kuu la Dar es salaam.

 

Maelezo ya mawasiliano
Pd. Casmir Kavishe
Mkuu wa Dekania ya Mbagala
Phone : 0782 804090


Viongozi wa Dekania
SEBASTIAN CHIPETA
MWENYEKITI KAMATI TENDAJI HALMASHAURI WALEI DEKANIA
Phone : 0753 015857
RICHARD MAHUNDI
MAKAMU M/KITI. KAMATI TENDAJI HALMASHAURI WALEI DEKANIA YA MBAGALA
Phone : 0718261168
SEVERINE G. KIRWAY
KATIBU. KAMATI TENDAJI HALMASHURI WALEI DEKANIA YA MBAGALA
Phone : 0699 883408
JOSEPHINEL. MAKALA
KATIBU MSAIDIZI. KAMATI TENDAJI HALMASHURI WALEI DEKANIA YA MBAGALA
Phone : 0788 862666
GOODLUCK MASSAWE
MTUNZA FEDHA, KAMATI TENDAJI HALMASHAURI WALEI DEKANIA YA MBAGALA
Phone : 0754854872
ORODHA YA PAROKIA
Parokia za Dekania hii