Dar es Salaam
Usaidizi wa Wateja
Tarehe 18.01.2023, Askofu Mkuu, Mhashamu Judde Thaddaeus Ruwa’ichi alitangaza kuigawa Dekania ya Mbezi Luis na kupatikana Dekania mpya ya Mt. Theresia wa Mtoto Yesu, Mavurunza.
Baada ya mgawanyo huo, Dekania ya Mbezi Louis ilibaki na Parokia 10 na Dekania ya Mavurunza ilipewa Parokia 8 ambazo ni;.Mavurunza, Mbezi mwisho, Tagaste, Temboni, Mt. Ritha wa Kashia -Temboni, Matosa, Goba Matosa na nyingine ziliongezeka baadaye yaani Parokia ya Msingwa na Stop-over
Askofu Mkuu alimteuwa Pd. Sylvester Msemwa (OCD) kuwa Dekano wa Mbezi Luis, na Dekano mpya wa Mavurunza kuwa Pd. Vivian Menezes (OCD).
Makao Makuu ya Dekania ya Mavurunza ni Parokia ya Mavurunza
Padre Vivia Menezes – Dekano --- 2023-----
- Pd. wa Shirika la Wakarmel OCD
· Padre (Names)
Padre (Shirika)
· Padre (Names)
Padre (Shirika)
Parokia zinazounda Dekania ya Mt. Thesesia wa Mtoto Yesu zinapatikana uelekeo wa barabara ya Morogoro.
Dekania inapakana na Dekania ya Mbezi Luis na Dekania ya Ubungo kwa upande wa kusini
Maelezo ya mawasiliano
Pd. Vivian Menezes
Mkuu wa Dekania ya Mavurunza
Phone : 0782 639353