KUHUSU HALMASHAURI YA WALEI
Dekania
Dekania ya Pugu

Novemba 22-2026 , Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwaich, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam alitangazo kuundwa kwa Dekania mpya ya Chanika kwa kugawa Dekania ya Pugu. Tangazo hilo alilitoa kwenye sikukuu ya kilele cha Mavuno Jimbo.

Zoezi la Kugawanya Dekania ya Pugu lilifanyika Tar 04 Dec 2026  na kufanya Dekania za Jimbo la Dar es Salaam Kufikia 16.  Parokia zilizobakia ambazo zinaunda Dekania ya Pugu ni ( 8), ambazo ni ;Pugu, Mji Mpya- Relini, Bomba Mbili, Buyuni ,Kisarawe, Masaki, Viwege na Kigezi 

Askofu Mkuu alimteua Pd. Baltazar Minde Kutoka Shirika la Wabenediktini kuwa Dekano wa Pugu na kuchukua nafasi ya Pd. William Sindano ambaye alikuwa Dekano wa kwanza. 

Dekano
Madekano - Mt. Fransisco wa Asizi

Madekano Dekania ya Mt. Francisco wa Asizi - Pugu tokea kuundwa.

·       Padre Baltazar Minde – Dekano --- 2026-----

.       Pd. Wa Shirika la Wabenedictine, OSB

 

·       Padre William Sindano –2024 - 2026

*     Padre wa Shirika la Wabenedictine, OSB 

·       Padre ;

*     Padre 

Maelezo ya mawasiliano
Pd. Baltazar Minde
Mkuu wa Dekania ya Pugu
Phone : 0712 758223


Viongozi wa Dekania
SYVESTER KATAMBI
MWENYEKITI DEKANIA YA PUGU
Phone : 0713174397
MICHAEL E. NOLELO
MAKAMU M/KITI DEKANIA YA PUGU
Phone : 0783 512271
JEREMIA LADISLAUS
KATIBU DEKANIA YA PUGU
Phone : 0717165024
DAFROSA DENIS
KATIBU MSAIDIZI DEKANIA YA PUGU
Phone : 0622068401
WINFRIDA MKINGA
MTUNZA FEDHA DEKANIA YA PUGU
Phone : 0786 437191