Dar es Salaam
Usaidizi wa Wateja
Novemba 22-2026 , Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwaich, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam alitangazo kuundwa kwa Dekania mpya ya Mlandizi kwa kugawa Dekania ya Kibaha. Tangazo hilo alilitoa kwenye sikukuu ya kilele cha Mavuno Kijimbo.
Zoezi la Kugawanya Dekania ya Kibaha lilifanyika Tar 04 Dec 2026 na kufanya Dekania za Jimbo la Dar es Salaam Kufikia 16. Dekania ya Mlandizi inaundwa na Parokia (8) na parokia Teule (3) ambazo ni; Parokia ya Mlandaizi, Mkuza, Misugusugu, Jamaika, Changombe, Kongowele, Visiga na Miembe saba. Parokia Teule ni Vikuge, Galagaza na Mikongeni
Askofu Mkuu alimteua Pd. Rymond Mbaula kuwa Dekano wa Mlandizi. Parokia zinazounda Dekania hii zinapatikana barabara ya Morogoro kuelekea Kibaha maili moja
Makao Makuu ya Dekania i Parokia ya Mlandizi. inapatikana Mlandizi
Madekano Dekania ya Mt. Antony wa Padua- Mlandizi tokea kuundwa.
· Padre Rymond Mbaula – Dekano --- 04 Dec. 2026-----
. Padre wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam
Padre (Names)..
Padre (shirika)
Padre (Names)
Padre (Shirika)
Parokia zinazounda Dekania hii zinapatikana uelekeo wa Kuanzia Kibaha Maili moja, baadhi yake ni Parokia za hivi karibuni.
Maelezo ya mawasiliano
Pd. Rymond Mbaula
Mkuu wa Dekania ya Mlandizi
Phone : 0762 722172