KUHUSU HALMASHAURI YA WALEI
Dekania
Dekania ya Kibaha

Dekania ya Kibaha ilizaliwa kutoka Dekania ya Ubungo miaka 10 iliyopita. ilitangazwa kuwa Dekania mwaka 2017 na aliyekuwa Askofu Mkuu, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo na kumteua Pd Beno Kikudo Kuwa Dekano. Dekanaia hii inapatikana Mkoa wa Pwani ambapo Kibaha ndipo makao makuu ya mkoa wa Pwani yalipo.

Novemba 22- 2025, Shukrani ya Mavuno Kijimbo, Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwaich, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam alitangaza kuundwa kwa Dekania mpya ya Mlandizi, kwa kuigawa dekania ya Kibaha wakati huo ikiwa na Parokia (15) na Parokia Teule (6). Kwa sasa parokia zinazounda Dekania ni (9) na Teule (7) ambazo ni; Kibaha, Kiluvya, Kibamba,Kibwegere, Kwembe, Mabwepande, Lulanzi, Mt. Anna, Makurunge na Parokia Teule za Mpiji, Kidimu, Mkombozi, Luguruni Muheza, Kiluvya madukani na Kiluvya kwa komba

Askofu Mkuu amemteua Pd. Thomas R. Mtey  kuwa Dekano wa Kibaha 

Dekano
Madekano- Dekania ya Mtakatifu Monika- Kibaha

Madekano waliopata kuingoza Dekania ya Kibaha toka Kuundwa kwake ni ; 

·        –Padre Thomas R. Mtei - Dekano 22 Nov. 2025-----

§  Padre Wa Shirika la Wakarmeli (O. Carm)

 

·       Beno Kikudo – 2017 - 2025

*     Padre wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam

·       Padre (Name)-

*     (Shirika)

Kuongezeka kwa Dekania ni ishara tosha ya maendeleo ya kiimani na pia kukua kiroho kwa waamini katika Jimbo la Dar es Sallam.

Maelezo ya mawasiliano
Pd. Thomas R. Mtei
Mkuu wa Dekania ya Kibaha
Phone : 0753-802324


Viongozi wa Dekania
SYMPHORIAN LING’WENTU
MWENYEKITI, KAMATI TENDAJI HALMASHAURI WALEI DEKANIA
Phone : 0622 145898
SELESTINA LIKUNGUALA
MAKAMU M/KITI, KAMATI TENDAJI HALMASHAURI WALEI DEKANIA
Phone : 0652 136963
ADOLPHINA LUAMBANO
KATIBU, KAMATI TENDAJI HALMASHAURI WALEI DEKANIA
Phone : 0686704303
EDWIN F. BISHANGA
KATIBU MSAIDIZI KAMATI TENDAJI HALMASHAURI WALEI DEKANIA
Phone : 0766 366645
DEODATUS Z. CHUWA
MHAZINI, KMATI TENDAJI HALMASHURI WALEI DEKANIA
Phone : 0764 400333
ORODHA YA PAROKIA
Parokia za Dekania hii