KUHUSU HALMASHAURI YA WALEI
Dekania
Dekania ya Mt. Petro

Dekania ya mtakatifu Petro ilizaliwa kutoka Dekania ya Mt. Yosef zaidi ya miaka 10 iliyopita. Ni mojawapo ya maeneo ya kiutawala na kichungaji ndani ya Jimbo Kuu la Dar es Salaam yanayounganisha parokia mbalimbali kwa lengo la kuratibu na kuimarisha majukumu mbalimbali ya Kanisa.

Parokia nyingi zinazounda Dekania hii zinapatikana wilaya ya Kinondoni na baadhi yake zinapatikana wilaya ya Ubungo. Dekania hii ni miongoni mwa Dekania kongwe za jimbo Kuu la Dar es Salaam. Makao Makuu yake ni parokia ya Mwananyamala.

Parokia zinazounda Dekania hii ni pamoja na; Oysterbay, Sinza, Hananasif, Mwananyamala, Mwenge, Kawe, Kijitonyama, Makongo Juu, Mikocheni na Magomeni.

Msimamizi wa Dekania hii Padre Eladius Kibangura. Padre wa shirika la ALCP/OSS. 

Dekano
Madekano-Dekania ya Mtakatifu Petro

Madekano Dekania ya Mt.Petro - tokea kuundwa.

·       Padre Eladius Kibangura – Dekano --- 2023-----

-        Pd. wa Shirika la ALCP/OSS 

·       Padre (Names)

*    Padre (Shirika)

·       Padre (Names)

*     Padre (Shirika)

Dekania ya Mt. Petro ni kati ya Dekania Kongwe zinazounda Jimbo Kuu la Dar es Salaam. 

Maelezo ya mawasiliano
Pd. Eladius KIbangura
Mkuu wa Dekania ya Mt. Petro
Phone : 0625 238311


Viongozi wa Dekania
EDWIN SANDA
MWENYEKITI DEKANIA YA MT. PETRO
Phone : 0784 700612
SEBASTIAN MAZIKU
MAKAMU MWENYEKITI
Phone : 0655 054087
SALOME NTARO
KATIBU
Phone : 0784 900704
DESDERY WENGAA
KATIBU MSAIDIZI DEKANIA
Phone : 0786 306444
EMILIANA F.NYENZA
MTUNZA FEDHA DEKANIA
Phone : 0754 067772
ORODHA YA PAROKIA
Parokia za Dekania hii