Dar es Salaam
Usaidizi wa Wateja
Dekania ya Mt.Fransisko - Kigamboni iliundwa na Kutangazwa na aliyekuwa Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo.
Kwa sasa Dekania hii inaundwa na parokia za; Kigamboni, Mji mwema,Toangoma, Kimbiji, Kibada, Gezaulole, Vijibweni, Mikwambe, Kongowe, Mkokozi, Kisarawe II, Mwongozo, Mlamleni, Lugwadu, Mbutu na Mwasonga n.k.
Dekania hii ilizaliwa kutoka Dekania ya Mt. Yosefu. Ki-geografia, Parokia zinazounda Dekania hii zipatikana eneo la Kigamboni. Zipo fukwe za kuvutia, na maeneo ya kupumzika. Eneo la Kigamboni linaunganisha na daraja la Kigamboni pamoja na vivuko vya ferry (Pantoni, Speed boat au Mitumbwi). Kutokana na uwepo wa bahari zipo shughuliza uvuvi na biashara ndogondogo
Msimamizi wa Dekania ni Pd. Oscar Girardi wa Shirika la Ndugu Wafransisko Wakapuchini OFM Cap.
Madekano - Dekania ya Mt. Fransisco wa Asizi - Kigamboni tokea kuundwa kwake.
· Padre Osca Girardi – Dekano --- 2013-----
§ Pd. Wa Shirika la Ndugu Wafransisko Wakapuchini OFM Cap
· Padre (Names) –
Padre (Shirika)
· Padre (Names)
Padre (Shirika)
Maelezo ya mawasiliano
Fr. Oscar Girardi
Mkuu wa Dekania ya Kigamboni
Phone : 0713 214457