Dar es Salaam
Usaidizi wa Wateja
Utumishi wetu kwa Mungu utakuwa na maana kama kujitoa kwetu kutakuwa ni kwa dhati kabisa kutoka mioyoni mwetu bila manung’uniko, wala kujiinua, na kuona yote haya tunayoyafanya ni kwa sifa na utukufu wa Mungu na kwa ajili ya wokovu wa watu bila kujali, fedha tulizonazo, elimu na hata vyeo tulivyo navyo.
“Yule aliye mkuu kati yenu ni lazima awe mdogo wa wote, na aliye kiongozi lazima awe kama mtumishi” (Injili ya Luka 22:26) wajibu wetu ni kutakatifuza malimwengu kama kauli mbiu yetu ya miaka 50 inavyotuongoza, lengo ni kuwapeleka watu Mbinguni. Hivyo basi, tunapoifanya kazi ya Mungu tunapaswa kuifanya kwa moyo, tusingoje Shukrani, Mwinjili Luka naye anatueleza “Hali kadhalika na nyinyi mkisha fanya yote mliyoamriwa, semeni Sisi ni Watumishi tusio na faida, tumetimiza tu yale tuliyotakiwa kufanya”(Luka 17:10)
“Yule aliye mkuu kati yenu ni lazima awe mdogo wa wote, na aliye kiongozi lazima awe kama mtumishi” (Injili ya Luka 22:26) . Katika kujibidiisha kwetu, wajibu wetu ni kutakatifuza malimwengu kama kauli mbiu yetu ya miaka 50 inavyotuongoza, lengo ni kuwapeleka watu Mbinguni. Hivyo basi, tunapoifanya kazi ya Mungu tunapaswa kuifanya kwa moyo, tusingoje Shukrani, Mwinjili Luka naye anatueleza “Hali kadhalika na nyinyi mkisha fanya yote mliyoamriwa, semeni Sisi ni Watumishi tusio na faida, tumetimiza tu yale tuliyotakiwa kufanya”(Luka 17:10)
Katika Kristo,
Mhashamu John T Doe
Mkuu wa Kibaha
Maelezo ya mawasiliano
Email : john.doe@gmail.com
Phone : +255 763 123 444