Dar es Salaam
Usaidizi wa Wateja
Parokia ipo Mkoa wa Pwani, kusini mwa Tanzania eneo la Mkuranga. Parokia hii imekuwa ikisimamiwa na Mapadre Wasalvatorian tokea kuzaliwa kwake 1994. Prokia inahudumiwa pia na Masista wa Dada wadogo, Masista Wasalvatorian, Masista wa Magole na Holy Unioni
| Day | Mass Time | Confession Time | Other Sacraments |
|---|---|---|---|
| Monday - Friday | 6:30 AM, 12:00 PM | 5:00 PM - 6:00 PM | Baptisms: Saturday 10:00 AM, Weddings: By Appointment |
| Saturday | 7:00 AM, 5:00 PM (Vigil) | 4:00 PM - 5:00 PM | |
| Sunday | 7:00 AM, 9:00 AM, 11:00 AM | 6:30 AM - 7:30 AM |
- Kwaya ya Mtakatifu Francis: Hutoa huduma za uimbaji wa nyimbo za kiroho.
- Huduma ya Vijana: Inalenga kuwasaidia vijana kuelewa nafasi yao katika utume wa Kanisa.
- Huduma ya Wanandoa: Inatoa mafunzo kwa wanandoa juu ya kuimarisha ndoa zao.
- Huduma ya Watoto: Hufundisha watoto maadili ya Kikristo kupitia michezo na masomo.
Coming soon...
Coming soon...
Coming soon...
Coming soon...