Dar es Salaam
Usaidizi wa Wateja
Historia ya Parokia ya Utete inaanzia Juni 1965 kupitia Mganga mkuu wa Hospitali ya Wilaya Utete Dr. Kasambala, baada ya kumpokea mgojwa Mr Kilindo. Wakati wa kumhudumia aliomba huduma ya padre hasa ubatizo wakati huo hapakuwa na padre wa kumpa mgonjwa huduma
Mganga mkuu aliwakusanya waumini Wakristo Hospitali hapo na kusali pamoja na mgojwa kumfariji. Kwa tukio hilo, Dr. Kasambala alianza jitihada ya kujenga kanisa, mwezi Oktoba 1965 Mwl. Julius K. Nyerere alitembelea Hoapitali. Katika risala, Dr. Kasambala alimuomba Rais eneo la kujenga Kanisa, Rais aliagiza Hospitali kutoa eneo kwaajili ya kujenga Kanisa. Ujenzi ulianza mwaka 1966 ukisimamiwa na Padre Robin wa kanisa na Anglican,
| Day | Mass Time | Confession Time | Other Sacraments |
|---|---|---|---|
| Monday - Friday | 6:30 AM, 12:00 PM | 5:00 PM - 6:00 PM | Baptisms: Saturday 10:00 AM, Weddings: By Appointment |
| Saturday | 7:00 AM, 5:00 PM (Vigil) | 4:00 PM - 5:00 PM | |
| Sunday | 7:00 AM, 9:00 AM, 11:00 AM | 6:30 AM - 7:30 AM |
- Kikundi cha Watumishi wa Altare: Huongoza huduma za liturujia na misa kwa usahihi na heshima.
- Kwaya ya Mt. Benedicto: Huongoza nyimbo za ibada zenye mvuto wa kipekee na mshikamano wa kiroho.
- Huduma ya Vijana: Huwahamasisha vijana kushiriki katika shughuli za kanisa na jamii.
- Huduma ya Maombezi: Hutoa nafasi kwa waamini kushiriki sala za maombezi kwa ajili ya familia na jumuiya.
Coming soon...
Coming soon...
Coming soon...
Coming soon...