KUHUSU HALMASHAURI YA WALEI
Parokia
Parokia ya Makabe

HISTORIA FUPI YA BIKIRA MARIA CONSOLATA- MAKABE

Kigango cha Bikira Maria Consolata- Makabe kilianza mkusanyiko wa sala 1970, wakiristo walikusanyika wakisali kwenye banda la udongo la Bwa. Silvester maarufu kama My Boy- Fundi seremala aliyetoa eneo bure. Waamini walijitambulisha Parokia ya Ubungo Msewe iliyohudumiwa na Mapadre wa Shirika la Consolata Paroko akiwa Pd. Luciano. Baada ya hapo ndipo utaratibu wa kuratibiwa na Parokia ukaanza kwa wakristo kusali Pamoja siku za Dominika kwa mapadre kuja na kutoa huduma. Baaa ya kifo cha ndg. Silvester 1980, Watoto walidai fedha za kiwanjacha Kanisa, Mapadre wa Consolata wakaamua kukinunua.

Baadda ya idadi ya waamini kuongezeka walijenga nyumba ya makuti kama Kanisa, mwaka 1984ujenzi wa Kanisa la kudumu la kigango ulianza kwwa michango ya waamini wenyewe. Kigango kilitambuliwa rasmi 1978. Na mwaka 2000 ilianzishwa Parokia ya Peter Clavery mbezi luis na kigango cha Makabe kuhamia Parokia ya Peter Clavery badala ya ubungo msewe. Mapadre wa Shirika la Karmeli chini ya Pd. Vivian

Ili kufahamu zaidi bonyeza kitufe hapo chini

Uongozi wa Parokia
No record found ...

Ratiba ya Misa na Sakramenti
Day Mass Time Confession Time Other Sacraments
Monday - Friday 6:30 AM, 12:00 PM 5:00 PM - 6:00 PM Baptisms: Saturday 10:00 AM, Weddings: By Appointment
Saturday 7:00 AM, 5:00 PM (Vigil) 4:00 PM - 5:00 PM
Sunday 7:00 AM, 9:00 AM, 11:00 AM 6:30 AM - 7:30 AM
Tusaidie Kukua: Ungana Nasi Kuitimiza Dhamira Yetu
Huduma na Vikundi
  • Huduma ya Watumishi wa Altare: Kikundi kinachoshiriki moja kwa moja katika maandalizi na uendeshaji wa ibada.
  • Kwaya ya Mt. Vincent wa Paulo: Hutoa huduma ya uimbaji wa nyimbo za kiroho kwa ajili ya misa.
  • Jumuiya za Vijana: Zinahamasisha vijana kujifunza mafundisho ya Kanisa na kushiriki kikamilifu katika huduma za kijamii.
  • Huduma ya Familia: Huwasaidia wanandoa na familia kuimarisha maisha yao ya ndoa na imani.
  • Huduma ya Mazingira: Kikundi kinachojali usafi na mazingira ya parokia na maeneo yanayozunguka.
Jiunge Nasi
Kila mwamini anakaribishwa kushiriki katika maisha ya parokia kupitia vikundi mbalimbali vya huduma, jumuiya ndogo ndogo, na matendo ya huruma. Ni nafasi ya kila mmoja kutumia karama zake kwa ajili ya kuimarisha Kanisa na jamii. Parokia inahamasisha ushirikiano wa waamini wote kwa moyo mmoja ili kudumisha upendo, mshikamano, na maadili mema katika maisha ya kila siku.
Saidia Parokia
Michango ya waamini inasaidia kuendesha huduma za kiroho, miradi ya maendeleo, na msaada kwa wahitaji. Parokia inawahamasisha waamini kutoa misaada ya hali na mali kwa ajili ya kazi za Mungu. Kwa kushirikiana, tunaweza kuendelea kuimarisha huduma za kiroho, kusaidia maskini, na kujenga jamii yenye mshikamano wa Kikristo.
Matukio:

Coming soon...

Habari:

Coming soon...

Matangazo:

Coming soon...