KUHUSU HALMASHAURI YA WALEI
Parokia
Parokia ya Msakuzi

Mnamo mwaka 1982 baadhi ya familia zilikubaliana kusali Pamoja chini ya mti wa Mkorosho katika shamba la ndugu Wilson Kasimu, baadaye idadi ikaongezeka , na mwaka 1987 kituo hiki cha sala kikatangazwa kuwa kigango cha Bikira Maria wa Mateso na Pd Luciano aliyekuwa Paroko wa Msewe.

Kufikia 2010 idadi ya waamini ilikuwa imeshafikia 600, ziliundwa jumuiya 16. Mwanzoni mwa mwaka 1994 tayari kulishapatikana eneo la Robo tatu Ekari ambapo iliwezesha kuanzishwa ujenzi wa kanisa dogo la kudumu mwaka 1994 chini ya Paroko wa Msewe. Mnamo tarehe 25/09/1995, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo alizindua rasmi jengo la Kanisa la Kigango.

Mwaka 2023 Parokia ya Mt. Paulo, Msewe walikabidhi Kigango cha Bikira Maria wa Mateso Msakuzi kwa Parokia ya Mt. Clavery Mbezi Luis. Mwishoni mwa Mwaka 2015, Kigango cha Bikira Maria wa Mateso kilitangazwa kuwa Parokia tajwa chini ya Shirika la White Father ikiongozwa na Pd. Bartholomeo Mrosso. Tarehe 01/05/2010 ilitangazwa kuwa Parokia kamili chini ya Shirika la Rosmin Fathers chini ya Uongozi wa Paroko Fr. Fulgence Oisso.

Uongozi wa Parokia
No record found ...

Ratiba ya Misa na Sakramenti
Day Mass Time Confession Time Other Sacraments
Monday - Friday 6:30 AM, 12:00 PM 5:00 PM - 6:00 PM Baptisms: Saturday 10:00 AM, Weddings: By Appointment
Saturday 7:00 AM, 5:00 PM (Vigil) 4:00 PM - 5:00 PM
Sunday 7:00 AM, 9:00 AM, 11:00 AM 6:30 AM - 7:30 AM
Tusaidie Kukua: Ungana Nasi Kuitimiza Dhamira Yetu
Huduma na Vikundi
  • Kikundi cha Liturgia: Hujitolea kupanga na kuongoza ibada kwa ufanisi na utulivu.
  • Kwaya ya Bikira Maria wa Mateso: Kikundi kinachohamasisha ibada kupitia muziki na nyimbo za kiroho.
  • Huduma ya Vijana wa Parokia: Inalenga kuhamasisha vijana kushiriki kikamilifu katika shughuli za kiroho na kijamii.
  • Kikundi cha Katekesi: Kinatoa mafunzo ya kina kuhusu imani ya Kikristo kwa watoto na watu wazima.
  • Huduma ya Wamisionari wa Parokia: Hushiriki katika kuhubiri injili na kusaidia jamii kwa matendo ya huruma.
Jiunge Nasi
Parokia ya Msakuzi inatoa nafasi kwa waamini kujihusisha na huduma mbalimbali, kutoka vikundi vya sala hadi miradi ya kijamii. Waamini wanahimizwa kushiriki kwa ukamilifu na kwa moyo wa upendo, kwa lengo la kujenga jumuiya yenye mshikamano. Kwa kujiunga na vikundi vya parokia, waamini wanapata fursa ya kushirikiana na kujifunza kutoka kwa wenzao katika imani na matendo.
Saidia Parokia
Kwa michango ya kifedha na rasilimali nyingine, waamini wanachangia kuboresha huduma za parokia na kusaidia miradi ya kusaidia jamii. Parokia inawakaribisha waamini wote kujitoa kwa moyo mkunjufu, kwani msaada wao ni muhimu kwa maendeleo ya kiroho na kijamii.
Matukio:

Coming soon...

Habari:

Coming soon...

Matangazo:

Coming soon...