KUHUSU HALMASHAURI YA WALEI
Parokia
Parokia ya Bonyokwa

Parokia ya Bonyokwa ni zao la Parokia ya Makoka. Parokia inapatikana Dekania ya Makuburi. ilitangazwa kuwa Parokia Tarehe 21 Novemba 2020 na Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwaichi, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam kwenye sikukuu ya Mavuno iliyofanyika Msimbazi Centre.

Askofu Mkuu Jude Thaddaeus Ruwaichi alimteuwa Padre Jeremiah Msaki Kuwa Paroko wa wa kwanza kushika nafasi hiyo baada tu ya kutangazwa kuwa parokia. Parokia ilikabidhiwa kwa Mapadre wa Shirika la Wasalvatoriana. Kwa sasa Paroko ni Padre Ponder Paulinus Ngilangwa SDS.

Bonyokwa ni parokia mojawapo inayounda Dekania ya Makaburi.

Uongozi wa Parokia
PD. PONDER PAULINUS NGILANGWA
PAROKO

EVANCE KACHENJE
MWENYEKITI
Tel : 0714 616012
AMEDEUS MBUTA
MAKAMU MWENYEKITI
Tel : 0755906670
ELIA LUGANO
KATIBU
Tel : 0754 325509
ROGATHE KIMARO
KATIBU MSAIDIZI
Tel : 0718 984647
MAJALIWA NGAILO
MTUNZA HAZINA
Tel : 0743 434373
PD. PONDER PAULINUS NGILANGWA
PAROKO
Ratiba ya Misa na Sakramenti
Day Mass Time Confession Time Other Sacraments
Monday - Friday 6:30 AM, 12:00 PM 5:00 PM - 6:00 PM Baptisms: Saturday 10:00 AM, Weddings: By Appointment
Saturday 7:00 AM, 5:00 PM (Vigil) 4:00 PM - 5:00 PM
Sunday 7:00 AM, 9:00 AM, 11:00 AM 6:30 AM - 7:30 AM
Tusaidie Kukua: Ungana Nasi Kuitimiza Dhamira Yetu
Huduma na Vikundi
  • Kikundi cha Vijana: Kikundi hiki kinawasaidia vijana kuelewa na kuishi kulingana na mafundisho ya Kristo, na pia kinashiriki katika shughuli za kijamii.
  • Kwaya ya Parokia: Kikundi hiki kinatoa huduma muhimu katika ibada, na kuhamasisha waumini kwa nyimbo za ibada.
  • Huduma ya Familia: Kikundi hiki kinasaidia familia kuishi kwa upendo na umoja, na kutoa msaada wa kiroho na kijamii kwa familia za parokia.
  • Chama cha Walei: Kikundi hiki kinasaidia waumini kutoa mchango wao katika huduma za kijamii na kuleta mabadiliko katika jamii.
  • Huduma ya Wazee: Kikundi hiki kinatoa huduma kwa wazee na kuhakikisha wanapata msaada wa kiroho na kijamii.
Jiunge Nasi
Parokia ya Bonyokwa inawakaribisha waumini kujiunga na vikundi vya parokia ili kushiriki katika huduma za kiroho na kijamii. Kwa kujiunga na kikundi cha vijana, kwaya, au huduma za familia, waumini wana nafasi ya kutoa mchango wao katika maisha ya parokia na jamii.
Saidia Parokia
Waumini wanaweza kusaidia Parokia ya Bonyokwa kwa njia ya michango ya kifedha, kujitolea kwa kazi, au kutoa msaada katika miradi ya maendeleo. Kusaidia parokia ni njia ya kuimarisha huduma zake za kiroho na kijamii kwa familia na wahitaji.
Matukio:

Coming soon...

Habari:

Coming soon...

Matangazo:

Coming soon...