KUHUSU HALMASHAURI YA WALEI
Parokia
Parokia ya Mbagala

Parokia ya Mbagala wakati wa kuanzishwa kwake, awali watawa wa Benedictine walipofika Mbagala walifika Mbagala Parishi, ila kutokana na hadha ya maji waliomba kutafutiwa eneo jingine na ndipo walipochagua Mbagala Mission.

Kutokana na Wajerumani kushindwa katika vita vya kwanza vya dunia , koloni la Wajerumani lilinyanganya, Hivyo hata wamissionari wabenediktini maeneo yao walipewa wamissionari wengine. Wamissionari Waswis wakapuchini walipewa Mbagala Mission kupaendeleza. Hapo ndipo Parokia ya Mbagala ilipoanzishwa. Ilianzishwa katika eneo ambalo sasa ni Kituo cha Kiroho yaani (Mbagala Spiritual Centre) au Mbagala Mission.

Parokia ilikuwa hapo tangu 1954 hadi 1986. Mwaka 1986/87, parokia ilihamishwa kutoka Mbagala mission kwenda Mbagala Zakhem ili kupisha ujenzi katika eneo la Mbagala mission kwaajili ya uanzishwaji wa kituo cha Kiroho, hata hivyo baadaye na hata leo, eneo hili ndio nyumba au Kituo cha kiroho na nyumba ya Watawa  wa Kapuchini na nyumba ya  mama wa Shirika la watawa ya Dada Wadogo wa Mt. Fransisko.

Uongozi wa Parokia
PD. TITUS TARIMO
PAROKO - MBAGALA ZAKHEM
Tel : 0732 920265
Short Bio: Padre wa Shirika la Ndugu wa Wafransisko Wakapuchini OFM Cap

SEVERIN G. KIRWAY
MWENYEKITI
Tel : 0699 883408
RYMOND N. WIGENGE
MAKAMU MWENYEKITI
Tel : 0754 286094
MARGARETH S. MRUMA
KATIBU
Tel : 0713 428338
JOSEPHINE L. MAKALA
KATIBU MSAIDIZI
Tel : 0788 862666
DEOGRATIAS W. KESSY
MTUNZA FEDHA
Tel : 0754 311971
PD. TITUS TARIMO
PAROKO - MBAGALA ZAKHEM
Tel : 0732 920265
Ratiba ya Misa na Sakramenti
Day Mass Time Confession Time Other Sacraments
Monday - Friday 6:30 AM, 12:00 PM 5:00 PM - 6:00 PM Baptisms: Saturday 10:00 AM, Weddings: By Appointment
Saturday 7:00 AM, 5:00 PM (Vigil) 4:00 PM - 5:00 PM
Sunday 7:00 AM, 9:00 AM, 11:00 AM 6:30 AM - 7:30 AM
Tusaidie Kukua: Ungana Nasi Kuitimiza Dhamira Yetu
Huduma na Vikundi
  • Kikundi cha Vijana: Kikundi hiki kinawasaidia vijana kuwa na mwelekeo sahihi wa kiroho na kijamii kwa kupitia mafunzo, makambi, na shughuli mbalimbali za kijamii.
  • Kwaya ya Parokia: Kikundi hiki kinasaidia waumini katika ibada kwa kutoa nyimbo za kiroho zinazohamasisha na kuleta hali ya ibada ya kweli.
  • Huduma ya Familia: Kikundi hiki kinahakikisha familia za waumini zinapata msaada na mwongozo katika maisha yao ya kila siku kwa kutoa mafundisho ya kiroho na kijamii.
  • Chama cha Walei: Kikundi hiki kinasaidia waumini kuwa na mchango mkubwa katika huduma za kijamii na kiroho katika jamii.
  • Huduma ya Wazee: Kikundi hiki kinahakikisha wazee wanapata huduma ya kiroho na kijamii, na wanahisi kuthaminiwa katika jamii ya parokia.
Jiunge Nasi
Waumini wa Parokia ya Mbagala wanakaribishwa kushiriki katika huduma mbalimbali za parokia ili kuwa sehemu ya jumuiya inayomtumikia Mungu na kusaidia wengine. Kujiunga na kikundi cha vijana, kwaya, au huduma ya familia ni njia mojawapo ya kushiriki na kuleta mabadiliko katika jamii.
Saidia Parokia
Parokia ya Mbagala inahitaji msaada kutoka kwa waumini ili kuendeleza huduma zake za kiroho na kijamii. Waumini wanaweza kutoa mchango wao kwa michango ya kifedha, kujitolea kwa kazi, au kusaidia katika miradi ya maendeleo. Msaada wa parokia utasaidia kuongeza ufanisi wa huduma zinazotolewa kwa waumini na jamii kwa ujumla.
Matukio:

Coming soon...

Habari:

Coming soon...

Matangazo:

Coming soon...