KUHUSU HALMASHAURI YA WALEI
Parokia
Parokia ya Kilamba

Parokia ya Mt. Polycarp Askofu na Shahidi Kilamba, ni moja kati ya parokia za Jimbo Kuu la Dar es Salaam.

Parokia hii ilianza tarehe 06/07/2019 ikiwa ya 117, baada ya kupandishwa hadhi kutoka parokia Teule. Kabla ya hapo Parokia hii ilikuwa kigango cha Parokia ya Mt. Martin wa Tours Kizinga, ambacho kilipandishwa hadhi kuwa Parokia teule tarehe 07/07/2018. Kigango cha Mt. Polycarp Askofu na Shahidi Kilamba kilianza 26/07/2014  baada ya iliyokuwa mitaa ya Parokia ya Mt. Anthony wa Padua Mbagala Zakhemu kuhamishiwa parokia ya Kizinga. 

Parokia inakadiriwa kuwa na waamini wapatao 3,300 wanaotokana na kaya  828. Kaya hizi zinazounda  Jumuiya 35 na Kanda 18.Parokia ya Mt. Polycarp Askofu na Shahidi Kilamba, iko katika eneo la kiserikali la Mitaa ya Nzasa A na Nzasa B iliyoko kata za Kilungule na Charambe, wilaya ya Temeke mkoa wa Dar es salaam

Mahali na Anwani
Uongozi wa Parokia
EMMANUEL LUGOMELA
MWENYEKITI KAMATI TENDAJI HALMASHAURI WALEI PAROKIA
Tel : 0715 342086
SALVATORY F. BYABATO
MAKAMU MWENYEKIT HALMASHAURI WALEI PAROKIA
Tel : 0754 769880
GODELIVA MUTAKYAWA
KATIBU KAMATI TENDAJI HALMASHAURI WALEI PAROKIA
Tel : 0784 708726
ANETH M. MROSSO
KATIBU MSAIDIZI KAMATI TENDAJI HALMASHAURI WALEI PAROKIA
Tel : 0717 173084
MONICA D. MWOGOFI
MTUNZA FEDHA KAMATI TENDAJI HALMASHAURI WALEI PAROKIA
Tel : 0655 592048
Ratiba ya Misa na Sakramenti
Day Mass Time Confession Time Other Sacraments
Monday - Friday 6:30 AM, 12:00 PM 5:00 PM - 6:00 PM Baptisms: Saturday 10:00 AM, Weddings: By Appointment
Saturday 7:00 AM, 5:00 PM (Vigil) 4:00 PM - 5:00 PM
Sunday 7:00 AM, 9:00 AM, 11:00 AM 6:30 AM - 7:30 AM
Tusaidie Kukua: Ungana Nasi Kuitimiza Dhamira Yetu
Huduma na Vikundi
  • Kikundi cha Vijana: Kikundi hiki kinatoa nafasi kwa vijana kujenga imani yao na kumtumikia Mungu, huku wakijihusisha na shughuli za kijamii.
  • Kwaya ya Parokia: Kikundi hiki kinatoa nyimbo za ibada na kumtumikia Mungu kwa kupiga nyimbo za kiroho zinazohamasisha waumini kutafuta uso wa Mungu.
  • Huduma ya Familia: Kikundi hiki kinajizatiti kusaidia familia kuwa na umoja na amani kwa kumtumikia Mungu na kusaidiana.
  • Chama cha Walei: Kikundi hiki kinahamasisha waumini kuwa na mchango mkubwa katika jamii kwa kutenda kazi za kijamii na kiroho.
  • Huduma ya Wazee: Kikundi hiki kinawasaidia wazee kujihusisha na jamii kwa njia za kiroho na kijamii, wakisaidiwa na waumini wa parokia.
Jiunge Nasi
Waumini wa Parokia ya Kilamba wanakaribishwa kujiunga na vikundi vya kijamii na kiroho ili kuchangia katika huduma za parokia. Kujitolea kwa muda na nguvu kutasaidia kuimarisha huduma za kiroho na kijamii.
Saidia Parokia
Parokia ya Kilamba inahitaji msaada kutoka kwa waumini ili kuendeleza huduma zake na kusaidia jamii inayozunguka. Msaada wa kifedha, muda, na nguvu utasaidia kuboresha huduma za kijamii na kiroho, na pia kuleta mabadiliko chanya katika jamii.
Matukio:

Coming soon...

Habari:

Coming soon...

Matangazo:

Coming soon...