KUHUSU HALMASHAURI YA WALEI
Parokia
Parokia ya Mgeninani

Parokia ya Mt. Mama Teresa  wa Kalkuta- Mgeninai imezaliwa kutoka Parokia Mama ya Epifania – Mtoni Kijichi.

Kijografia eneo la Mgeninai lilikuwa linaundwa na mitaa miwili ya Jordan na Antikiokia, mitaa ambayo ilikuwa chini ya uchungaji wa Parokia ya Epifania -  Mtoni Kijichi.Mtaa wa Mgeninani upo umbali wa karibu kilomita tatu (3) toka Parokia ya Epifania Mtoni Kijichi. Hivyo basi tangu awali waumini wa Mgeninani waliona umuhimu wa kuwa na kituo cha sala katika eneo lao.

Tarehe 07/07/2023 Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es salaam Mhashamu Juda Thaddeus Ruwa’ichi alitangaza Parokia Teule ya Mgeninani kuwa Parokia kamili chini ya Mtakatifu Mama Teresa wa Kalkuta.

Kwa hivi sasa Parokia inakadiliwa kuwa na waamini wapatao 2,350.

Uongozi wa Parokia
PD. CASMIR KAVISHE
PAROKO - MGENINANI
Tel : 0782 804090
Short Bio: Padre wa Shirika wa Ndugu Wafransisko Wakapuchini OFM Cap

NARSIS LUBAMBA
MWENYEKITI
Tel : 0716 248111
SEBASTIAN CHIPELTA
MAKAMU MWENYEKITI
Tel : 0685 294969
JESCA LEONARD
KATIBU
Tel : 0763 857065
YUDATHADEI KWEKA
KATIBU MSAIDIZI
Tel : 0757 467703
ABEL MASINDE
MTUNZA FEDHA
Tel : 0717 069457
PD. CASMIR KAVISHE
PAROKO - MGENINANI
Tel : 0782 804090
Ratiba ya Misa na Sakramenti
Day Mass Time Confession Time Other Sacraments
Monday - Friday 6:30 AM, 12:00 PM 5:00 PM - 6:00 PM Baptisms: Saturday 10:00 AM, Weddings: By Appointment
Saturday 7:00 AM, 5:00 PM (Vigil) 4:00 PM - 5:00 PM
Sunday 7:00 AM, 9:00 AM, 11:00 AM 6:30 AM - 7:30 AM
Tusaidie Kukua: Ungana Nasi Kuitimiza Dhamira Yetu
Huduma na Vikundi
  • Kikundi cha Vijana: Kikundi hiki kinahamasisha vijana kumtumikia Mungu na jamii, kwa kufanya kazi za kiroho na kijamii.
  • Kwaya ya Parokia: Kikundi hiki kinatoa huduma ya nyimbo za ibada na kumtumikia Mungu kwa furaha na upendo.
  • Huduma ya Familia: Kikundi hiki kinasaidia familia kuwa na umoja na amani kwa kumtumikia Mungu na kusaidiana katika changamoto za kila siku.
  • Chama cha Walei: Kikundi hiki kinawasaidia waumini kuwa na mchango mkubwa katika jamii kwa kutenda kazi za kijamii na kiroho.
  • Huduma ya Wazee: Kikundi hiki kinatoa huduma ya kiroho na kijamii kwa wazee, na kuwasaidia kujihusisha na jamii kwa upendo na mshikamano.
Jiunge Nasi
Waumini wa Parokia ya Mgeninani wanakaribishwa kujiunga na vikundi vya kijamii na kiroho ili kuchangia katika huduma za parokia. Kujitolea kwa muda na nguvu kutasaidia kuimarisha huduma za kiroho na kijamii na kuboresha hali ya jamii.
Saidia Parokia
Msaada wa kifedha, muda, na nguvu utasaidia parokia ya Mgeninani kuendeleza huduma zake na kusaidia jamii inayozunguka. Waumini wanahamasishwa kutoa michango kwa ajili ya miradi ya kijamii na kiroho inayotekelezwa na parokia.
Matukio:

Coming soon...

Habari:

Coming soon...

Matangazo:

Coming soon...