KUHUSU HALMASHAURI YA WALEI
Parokia
Parokia ya Ubungo Msewe

Mnamo mwaka 1968 aliyekuwa Paroko wa Magomeni Padre Oswin (Cap) alianzisha Kigango cha Ubungo Msewe. Katika kipindi hicho waamini wachache walisali chini ya mti wa mkorosho, eneo ambalo kwa sasa kuna nyumba ya WAWATA hapa Ubungo Msewe. Kwa  msaada wa Chifu G.P Kunambi, Balozi Richard Wambura alitoa kiwanja kwa ajili ya ujenzi wa Kanisa. Mwadhama Kardinali Lauriani Rungambwa aliwakaribisha Mapadre wa shirika la Consolata kuja kuanzisha jengo la Kanisa ambalo kwa sasa linatumika kama ukumbi mdogo wa Parokia.

Tarehe 18 Machi 1973, Ubungo Msewe ilipewa hadhi ya kuwa Parokia. Paroko wa kwanza alikuwa Padre Igino Lumetti akisaidiwa na Padre Romano Motter na Mwenyekiti wa kwanza wa HW Parokia alikuwa Chifu G.P Kunambi. Hawa walifanya kazi kubwa ya kujenga nyumba ya Mapdre

Kanisa la sasa la Msewe lilianza kujengwa tarehe 9 Agosti 1976 na kutabarukiwa na  Mwadhama  Kardinali Laurian Rugambwa tarehe 15 Februari 1978. Sherehe hiyo ilihudhuriwa na viongozi wa shirika la Consolata na Serikali iliwakilishwa na Mwalimu Julius K. Nyerere. Mnamo tarehe 19 Julai 1978, Padre Romano Motter aliteuliwa kuwa Paroko wa Ubungo Msewe.

 


 

 

Uongozi wa Parokia
Pd. Gerald Mulili
PAROKO
Tel : 0746-753158
Short Bio: Padri wa Shirika la Wakonsolata, IMC
Pd. Francesco Bernardi
PAROKO MSAIDIZI
Tel : 0762-053369
Short Bio: Padri wa Shirika la Wakonsolata, IMC

SEVERIN K. KALONGA
MWENYEKITI
CLEMENT MWALEWELA
MAKAMU MWENYEKITI
PIUS ALPHONCE MUSIBA
KATIBU
ALFRED MHAKILICHA
KATIBU MSAIDIZI
ANNA NGOO
MTUNZA FEDHA
Pd. Gerald Mulili
PAROKO
Tel : 0746-753158
Pd. Francesco Bernardi
PAROKO MSAIDIZI
Tel : 0762-053369
Ratiba ya Misa na Sakramenti
Day Mass Time Confession Time Other Sacraments
Monday - Friday 6:30 AM, 12:00 PM 5:00 PM - 6:00 PM Baptisms: Saturday 10:00 AM, Weddings: By Appointment
Saturday 7:00 AM, 5:00 PM (Vigil) 4:00 PM - 5:00 PM
Sunday 7:00 AM, 9:00 AM, 11:00 AM 6:30 AM - 7:30 AM
Tusaidie Kukua: Ungana Nasi Kuitimiza Dhamira Yetu
Huduma na Vikundi
  • Kwaya ya Parokia
  • Huduma ya Watoto na Vijana
  • Umoja wa Familia
  • Huduma za Huruma
Jiunge Nasi
Shiriki katika huduma ya vijana, Jiunge na Kwaya ya Parokia, Jitolee katika huduma za kijamii
Saidia Parokia
Changia kwa ajili ya ujenzi wa kanisa, Msaada kwa familia maskini
Matukio:

Coming soon...

Habari:

Coming soon...

Matangazo:

Coming soon...