KUHUSU HALMASHAURI YA WALEI
Parokia
Parokia ya Mbezi Juu

Tukio la aina yake lilitukia mnamo tarehe 14 Julai, 2007 ambapo kwa mara ya kwanza , Misa ya Kipaimara iliadhimishwa katika Kigango cha Mt. Dominico Guzman, wakati huo Kigango kikiwa chini ya Parokia ya Mt. Agustino-Salasala.

Shangwe na nderemo zilisikika pale tamko lilipotolewa na Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la DAr es Salaam ya kuwa Kigango cha Dominico kitapandishwa hadhi na kuwa Parokia mnamo 1 Novemba, 2007. Hatimaye Tarehe 10 Novemba, 2007 Parokia ya Mt. Domico Mbezi juu ilizinduliwa rasmi na Askofu  Mkuu wa Jimbo la Dar es Salaam na kuwa miongoni mwa Parokia zinazounda Jimbo Kuu la Dar es Salaam.

Kwa sasa Parokia inapatikana Dekania ya Mt. Thomas More, lakini kabla ya hapo Parokia ilikuwa ndania ya Dekania ya Mt. Gaspar De Buffalo, lakini baada ya kuundwa Jimbo la Bagamoyo, Dekania ya Mt, Gaspar ilimegwa kutoka Jimbo la Dar es Salaam na hivyo baadhi ya Parokia kuhamia Jimbo jipya la Bagamoyo, zilizobaki zikatengeneza dekania ya Mt. Thomas More 

Uongozi wa Parokia
NEO PASCAL NGAO
MWENYEKITI, KAMATI TENDAJI HALMASHAURI WALEI PAROKIA
Tel : 0754 636522
NARCISA MUNG’ONG’O
MAKAMU MWENYEKITI, KAMATI TENDAJI HALMASHAURI WALEI PAROKIA
Tel : 0756 801697
ERNEST MAGANGA
KATIBU, KAMATI TENDAJI HALMASHAURI WALEI PAROKIA
Tel : 0653 797444
LEOPOLD BULONDO
KATIBU MSAIDIZI, KAMATI TENDAJI HALMASHAURI WALEI PAROKIA
Tel : 0754 292470
BARTHOLOMEW KWAYA
MTUNZA FEDHA, KAMATI TENDAJI HALMASHAURI WALEI PAROKIA
Tel : 0767 830710
Ratiba ya Misa na Sakramenti
Day Mass Time Confession Time Other Sacraments
Monday - Friday 6:30 AM, 12:00 PM 5:00 PM - 6:00 PM Baptisms: Saturday 10:00 AM, Weddings: By Appointment
Saturday 7:00 AM, 5:00 PM (Vigil) 4:00 PM - 5:00 PM
Sunday 7:00 AM, 9:00 AM, 11:00 AM 6:30 AM - 7:30 AM
Tusaidie Kukua: Ungana Nasi Kuitimiza Dhamira Yetu
Huduma na Vikundi
  • Kikundi cha Vijana: Kikundi hiki kinawasaidia vijana kuwa na mchango katika huduma za Kanisa na jamii, huku wakitumia vipaji vyao katika shughuli mbalimbali.
  • Kwaya ya Parokia: Kikundi hiki kinatoa huduma ya nyimbo za ibada zinazohamasisha waumini kumtumikia Mungu kwa furaha.
  • Huduma ya Familia: Kikundi hiki kinasaidia familia kuwa na umoja na kuimarisha maisha ya kiroho na kijamii.
  • Chama cha Walei: Kikundi hiki kinawasaidia waumini kutenda kazi za kijamii na kiroho kwa faida ya jamii nzima.
  • Huduma ya Wazee: Kikundi hiki kinawasaidia wazee kupata huduma za kiroho na kijamii, na kuwasaidia kuishi kwa amani.
Jiunge Nasi
Waumini wa parokia ya Mbezi Juu wanahamasishwa kujiunga na vikundi vya parokia ili kuchangia katika huduma za kiroho na kijamii. Ushiriki wao unasaidia kuboresha hali ya waumini na jamii kwa ujumla.
Saidia Parokia
Msaada wa kifedha na rasilimali nyingine ni muhimu kwa maendeleo ya parokia ya Mbezi Juu. Waumini wanahamasishwa kutoa michango ya kifedha na kujitolea kwa huduma za jamii ili kusaidia miradi ya parokia inayohusiana na huduma za kijamii, misaada, na miundombinu ya Kanisa.
Matukio:

Coming soon...

Habari:

Coming soon...

Matangazo:

Coming soon...