KUHUSU HALMASHAURI YA WALEI
Parokia
Parokia ya Manzese

Parokia Manzese ilizinduliwa rasmi tarehe 01/04/1978 na Mwadhama Laurian Kadinali Rugambwa na kuwekwa chini ya Moyo Mtakatifu wa Yesu kuwa msimamizi wa Parokia 

Mara baada ya uzinduzi, Mwadhama Laurian Kadinali Rugambwa alimwomba  Mkuu wa Shirika la Wamisionari wa Afrika (White Fathers) Padre JOHN HEIGH ambaye alikuwa Mkuu wa shirika tawi la Tanzania kuendesha Parokia. Mkuu wa shirika alikubali ombi. Shirika lilitoa mapadre watatu kuendesha Parokia ambao ni Padre Gerald Norf- Paroko (Marehemu), wasaidizi- Padre Charles Matte (Marehemu) na Bernado Amersvoot (marehemu) hawa ndiyo waasisi wa Parokia  ya Moyo Mtakatifu wa Yesu Manzese 

Parokia ya Manzese ilikuwa chini ya Shirika la Wamisionari wa Afrika (White Fathers) takribani miaka 38. Tarehe 01/05/2019 ilitangazwa rasmi kuwa chini ya Jimbo Kuu la Dar es salaam.  Pd.Theophil Bolampet akiwa Paroko  akisaidiwa na Padre Garren Mvungi na baadaye aliletwa Padre Cretus Mzeru. Kwa sasa Pd Benedict Shayo ndiye Paroko wa Manzese,

Mahali na Anwani
Uongozi wa Parokia
Pd. Benedict Shayo
PAROKO
Tel : 0754-568968
Short Bio: Padri wa Jimbo la Dar es salaam
Pd. David Ngate
PAROKO MSAIDIZI
Tel : 0653-130838
Short Bio: Padri wa Jimbo la Dar es salaam

AUDAX RUPATINISIBWA
MWENYEKITI KAMATI TENDAJI, H/WALEI PAROKIA,
Tel : 0655 863147
ADELEIDA V. KOMBA
MAKAMU MWENYEKITI
Tel : 0658 815749
ALPHONCE LEONARD
KATIBU KAMATI TENDAJI HALMASHAURI WALEI PAROKIA
Tel : 0713 734453
EDWARD W. MKENDA
KATIBU MSAIDIZI KAMATI TENDAJI HALMASHAURI WALEI PAROKIA
Tel : 0653 222422
BERNADETHA CHANGWA
MTUNZA FEDHA KAMATI TENDAJI HALMASHAURI WALEI PAROKIA
Tel : 0767 229579
Pd. Benedict Shayo
PAROKO
Tel : 0754-568968
Pd. David Ngate
PAROKO MSAIDIZI
Tel : 0653-130838
Ratiba ya Misa na Sakramenti
Day Mass Time Confession Time Other Sacraments
Monday - Friday 6:30 AM, 12:00 PM 5:00 PM - 6:00 PM Baptisms: Saturday 10:00 AM, Weddings: By Appointment
Saturday 7:00 AM, 5:00 PM (Vigil) 4:00 PM - 5:00 PM
Sunday 7:00 AM, 9:00 AM, 11:00 AM 6:30 AM - 7:30 AM
Tusaidie Kukua: Ungana Nasi Kuitimiza Dhamira Yetu
Huduma na Vikundi
  • Kwaya ya Parokia
  • Huduma ya Watoto
  • Vikundi vya Huruma
  • Huduma ya Vijana
Jiunge Nasi
Jiunge na Kwaya, Shiriki katika huduma ya vijana, Jitolee kwa ajili ya familia maskini
Saidia Parokia
Changia kwa ajili ya ujenzi wa kanisa, Msaada kwa watoto na familia maskini
Matukio:

Coming soon...

Habari:

Coming soon...

Matangazo:

Coming soon...