Dar es Salaam
Usaidizi wa Wateja
Parokia ya Bikira Maria mama wa Huruma - Kwa jina maarufu Mjimpya relini. Ipo Majohe Mjimpya kuvuka Reli ya Tazara . inapakana na Reli ya Tazara upande wa Kusini na kaskazini Inapakana na bomba la gas la Songosogo na Mashariki Parokia inapakana na barabara ya Gongo la mboto Mwera Rada, Magharibi inapakana na makutano ya reli na Bomba la Gas ya Songosongo. Tumezungukwa na majirani (yaani wakazi ).
Eneo la Mjimpya Relini lilianza kukaliwa na wakazi wenyeji kwa wingi miaka ya 1990 na kufikia miaka ya 1995 idadi ya wakazi wa Mjimpya Relini iliongezeka . Kwa sababu ya kuongezeka kwa watu, haja ya kupata huduma mbalimbali za kijamii ilijitokeza mojawapo ya hizo ikiwa ni huduma za kiroho.
Ili kufahamu zaidi bonyez kitufe Historia
| Day | Mass Time | Confession Time | Other Sacraments |
|---|---|---|---|
| Monday - Friday | 6:30 AM, 12:00 PM | 5:00 PM - 6:00 PM | Baptisms: Saturday 10:00 AM, Weddings: By Appointment |
| Saturday | 7:00 AM, 5:00 PM (Vigil) | 4:00 PM - 5:00 PM | |
| Sunday | 7:00 AM, 9:00 AM, 11:00 AM | 6:30 AM - 7:30 AM |
- Huduma ya Ibada (Liturgy Ministry):
Kikundi hiki kinahusika na maandalizi ya misa na ibada nyingine. Wanahakikisha ibada zinafanyika kwa heshima na kwa umoja wa waumini. - Huduma kwa Familia (Family Ministry):
Kikundi hiki kinatoa msaada kwa familia zinazokumbwa na changamoto za kifedha au kiroho. Wanahakikisha familia zinapata ushauri na msaada wa kiroho. - Huduma ya Vijana (Youth Ministry):
Huduma hii inalenga kuwasaidia vijana kukuza imani zao na kuwa viongozi wa kesho katika jamii. Vijana wanahimizwa kushiriki katika miradi ya maendeleo na huduma za kijamii. - Huduma ya Mafunzo ya Kikristo (Christian Education Ministry):
Kikundi hiki kinahakikisha waumini wanapata mafunzo ya Biblia na mafunzo ya imani ili kuwa na uhusiano wa karibu na Mungu.
Coming soon...
Coming soon...
Coming soon...
Coming soon...