KUHUSU HALMASHAURI YA WALEI
Parokia
Parokia ya Chanika

Historia ya Parokia ya Mt. Thomas Mtume inaanzia mwaka 1982 kutoka katika Parokia ya Pugu, chini ya uongozi wa Padri Menhard, Mkapuchini ikijulikana kama Kigango cha Mtakatifu Stephano Shahidi. Waamini wengi walikuwa wa kabila la Wamakonde waliotokea Msumbiji , waliishi eneo linajulikana kama Chanika Mwisho. Padri Menhard, kwa kushirikiana na waamini, walitafuta eneo na kujenga kanisa dogo. 

Mwaka 1992, Paroko wa Pugu, Padri Stefano Oswald Nyilawila, alipendekeza Kigango kuhamishwa kutoka Nguvu Kazi kwenda Msumbiji, yaani Chanika Mwisho.  Baada ya ujenzi wa kanisa dogo kukamilika 1983, Shirika la Wamisionari wa Ekaristi Takatifu (Missionary Congregation of the Blessed Sacrament – MCBS kutoka India lilikabidhiwa usimamizi wa Kigango mwaka 2012, chini ya Padri Leornardo Amadori-OFMCap Paroko wa Pugu, Tarehe 6/01/2013 Kigango kilitangazwa rasmi kuwa Parokia. Mwaka 2018 maandalizi ya ujenzi wa Kanisa yalianza na  16.09.2018  ulianza rasmi. Tar 30/10/2026, Kanisa lilitabarukiwa.  

Uongozi wa Parokia
SILAS COSTANTINE NYUMBA
MWENYEKITI
Tel : 0717 833544
PHILIP F, KIKAO
MAKMAU MWENYEKITI
Tel : 0718 909674
LAMBERT RWEGOSHERA
KATIBU
Tel : 0755 380075
AMALLU FRED MALASI
KATIBU MSAIDIZI
Tel : 0784 337727
TERESIA ELEUTERY MSAKI
MTUNZA HAZINA
Tel : 0765 908661
Ratiba ya Misa na Sakramenti
Day Mass Time Confession Time Other Sacraments
Monday - Friday 6:30 AM, 12:00 PM 5:00 PM - 6:00 PM Baptisms: Saturday 10:00 AM, Weddings: By Appointment
Saturday 7:00 AM, 5:00 PM (Vigil) 4:00 PM - 5:00 PM
Sunday 7:00 AM, 9:00 AM, 11:00 AM 6:30 AM - 7:30 AM
Tusaidie Kukua: Ungana Nasi Kuitimiza Dhamira Yetu
Huduma na Vikundi
  • Huduma ya Ibada (Liturgy Ministry):
    Huduma hii inahusika na utendaji wa ibada na misa. Kikundi hiki kinahakikisha ibada za kila juma zinafanyika kwa umoja na heshima.
  • Huduma ya Vijana (Youth Ministry):
    Kikundi hiki kinawasaidia vijana kuwa na imani thabiti na kuwa na mchango mkubwa katika jamii.
  • Huduma ya Familia (Family Ministry):
    Kikundi hiki kinasaidia familia za parokia kutatua changamoto zinazohusiana na ndoa na malezi ya watoto.
Jiunge Nasi
Waumini wa Parokia ya Chanika wanahimizwa kujitolea katika huduma za kijamii na kiroho. Ushiriki wao utawezesha parokia kutoa msaada zaidi kwa watu wenye mahitaji na kuimarisha imani ya Kikristo.
Saidia Parokia
Waumini wanahamasishwa kutoa michango ya kifedha kwa ajili ya shughuli za parokia, ikiwa ni pamoja na huduma kwa jamii maskini na msaada kwa watoto yatima. Msaada wao utasaidia kuboresha huduma za kiroho na maendeleo ya kijamii.
Matukio:

Coming soon...

Habari:

Coming soon...

Matangazo:

Coming soon...