Dar es Salaam
Usaidizi wa Wateja
Parokia ya Mtakatifu Antoni wa Padua – Chakenge ilikuwa Kigango cha Parokia ya Bikira Maria Mama wa Huruma- Mji mpya Relini. lilianzishwa kama Kigango na Padre Sunny Matattil Kuria aliyekuwa Paroko wa Mji Mpya Relini tarehe 25 Aprili 2010.
Kanisa lilizinduliwa na Mhashamu Askofu Titus Mdoe tarehe 20 October, 2013. Mwezi Julai 2018 Kigango kilitangazwa kuwa Parokia Teule kikiwa naKanda nne na jumuiya 19. Kufikia Juni 2019 kanda zilikuwa 6 naJumuiya 22.
Mwaka 2020 Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es salaam alitangazi Parokia Teule ya Mtakatifu Antoni wa Padua – Chakenge kuwa Parokia Kamili. Paroko kwa saasa ni Pd. Willium Sindano na Msaidizi wake Pd. Justus Rugaimukama.
| Day | Mass Time | Confession Time | Other Sacraments |
|---|---|---|---|
| Monday - Friday | 6:30 AM, 12:00 PM | 5:00 PM - 6:00 PM | Baptisms: Saturday 10:00 AM, Weddings: By Appointment |
| Saturday | 7:00 AM, 5:00 PM (Vigil) | 4:00 PM - 5:00 PM | |
| Sunday | 7:00 AM, 9:00 AM, 11:00 AM | 6:30 AM - 7:30 AM |
Huduma ya Ibada (Liturgy Ministry):
Kikundi hiki kinahusika na maandalizi ya misa na ibada nyingine. Wanahakikisha waumini wanapata huduma za ibada zinazowafikia kwa kina.Huduma ya Vijana (Youth Ministry):
Kikundi hiki kinasaidia vijana kutekeleza huduma za kijamii na kiroho. Kinahakikisha vijana wanakuwa na mchango mkubwa katika jamii yao.Huduma ya Familia (Family Ministry):
Huduma hii inatoa msaada kwa familia zinazokumbwa na changamoto mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kutatua migogoro na kutoa ushauri wa kifamilia.
Coming soon...
Coming soon...
Coming soon...
Coming soon...