Dar es Salaam
Usaidizi wa Wateja
Historia ya Parokia ya Maria Mtakatifu Kimara inaanzia mwaka 1984 ambapo Padre Recardo Osla, Paroko Msaidizi wa Parokia ya Ubungo-Msewe alinunua kiwanja kidogo Kimara Matangini ambapo Parokia ipo.
Mwaka 1984-85 Padre Skacha Luciano, Paroko wa Parokia ya Ubungo - Msewe alijenga kituo cha maendeleo ya vijana na chekechea katika kiwanja hicho. Kituo kilikuwa kinatumika kama kituo cha sala na wakati huduma hizo zinaendelea kutolewa, waumini waliongezeka na Ibada za Jumapili zikaanza mwaka 1989 kikiwa bado ni kituo cha sala. Historia hii haiwezi kukamilika bila kuwatambua na kuwashukuru Wajumbe wa Kamati ya kwanza walioanzisha mchakato wa kuomba ibada kufanyika hapa Kimara mwaka 1989. Wajumbe hao ni: 1. Bi Sibilina Nsanya (ambaye bado yupo Kimara hadi sasa); 2. Bwana Benito Amri; 3. Bwana T. Romani; 4. Bwana Gervase Chillipweli na 5. Bibi Jane Mtenga
Viwanja viwili vya Kanisa Na. 29 na 31 vilipimwa mwaka 1990 pamoja na Eneo la Dini (Religious Site) Na 31 na kufikia hatua ya ramani kukubaliwa na kusainiwa na Mkurugenzi wa Upimaji wa Ramani tarehe 18/1/91.
| Day | Mass Time | Confession Time | Other Sacraments |
|---|---|---|---|
| Monday - Friday | 6:30 AM, 12:00 PM | 5:00 PM - 6:00 PM | Baptisms: Saturday 10:00 AM, Weddings: By Appointment |
| Saturday | 7:00 AM, 5:00 PM (Vigil) | 4:00 PM - 5:00 PM | |
| Sunday | 7:00 AM, 9:00 AM, 11:00 AM | 6:30 AM - 7:30 AM |
- Kwaya ya Parokia
- Huduma ya Watoto
- Umoja wa Vijana
- Vikundi vya Huruma
Coming soon...
Coming soon...
Coming soon...
Coming soon...