KUHUSU HALMASHAURI YA WALEI
Parokia
Parokia ya Tandale

Parokia ya Mt. Karoli Lwanga – Tandale ipo katika Jimbo kuu la Dar es Salaam, wilaya Kinondoni, kata ya Tandale, mtaa wa Sokoni, ndipo Kanisa lilipo. Kwa upande wa kusini inapakana na Parokia ya Mashahidi wa Uganda (Magomeni), Mashariki Parokia ya Mwananyamala, Kaskazini Parokia Kijitonyama na Parokia ya Sinza, Magharibi Parokia ya Moyo Mtakatifu wa Yesu (Manzese) na Magharibi Kusini linapakana na Parokia ya Familia Takatifu (Mburahati).

Parokia ilizinduliwa tarehe 17 April, mwaka 2005 na Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo. Kabla ya hapo ilikuwa Kigango cha Parokia ya Moyo Mtakatifu wa Yesu (Manzese) iliyoanzishwa mwaka 1978. Kabla ya hapo ilikuwa kigango cha Parokia ya Mashahidi wa Uganda (Magomeni).

 

Uongozi wa Parokia
PIUS B. MOSHIRO
MWENYEKITI,KAMATI TENDAJI, H/WALEI PAROKIA
CESILIA P. KALEKEZI
MAKAMU MWENYEKITI,KAMATI TENDAJI, H/WALEI PAROKIA
TITUS P. KAVISHE
KATIBUKAMATI TENDAJI, H/WALEI PAROKIA,
CHRISTER NGAILO
KATIBU MSAIDIZI,KAMATI TENDAJI, H/WALEI PAROKIA
VENANCE ADABU
MTUNZA FEDHAKAMATI TENDAJI, H/WALEI PAROKIA,
Pd. Jean Baptiste Kouraogo
PAROKO
Tel : 0755-808514
Pd. Adrian Martinez
PAROKO MSAIDIZI
Tel : 0769-329288
Ratiba ya Misa na Sakramenti
Day Mass Time Confession Time Other Sacraments
Monday - Friday 6:30 AM, 12:00 PM 5:00 PM - 6:00 PM Baptisms: Saturday 10:00 AM, Weddings: By Appointment
Saturday 7:00 AM, 5:00 PM (Vigil) 4:00 PM - 5:00 PM
Sunday 7:00 AM, 9:00 AM, 11:00 AM 6:30 AM - 7:30 AM
Tusaidie Kukua: Ungana Nasi Kuitimiza Dhamira Yetu
Huduma na Vikundi
  • Kwaya ya Parokia
  • Huduma za Familia
  • Huduma za Watoto
  • Huduma ya Vijana
Jiunge Nasi
Jiunge na Kwaya ya Parokia, Jitolee katika huduma za familia, Shiriki katika huduma za vijana
Saidia Parokia
Changia kwa ajili ya ujenzi wa kanisa, Msaada kwa watoto na familia maskini
Matukio:

Coming soon...

Habari:

Coming soon...

Matangazo:

Coming soon...