KUHUSU HALMASHAURI YA WALEI
Parokia
Parokia ya Nyebulu Teule

Parokia Teule ya Nyeburu ilitangazwa kuwa Kigango tarehe 4/7/2021 na Pd. Crispin Matale Paroko wa Pugu na kupewa jina la Mt. Anthony wa Padua. Toka kutangazwa huduma zote zimekuwa kupitia Parokia ya Mt. Yohane Paulo wa II- Buyuni kwa mwongozo wa Pd. Baltazary Minde OSB Paroko kwa kushirikiana na Seminari Kuu ya Segerea

Kigango cha Mt. Anthony wa Padua kilipandishwa hadhi kuwa Parokia Teule Tar. 07/9/2024 chini ya mwongozo wa Pd. Baltazary Minde OSB. Baada ya kuondoka tuko na Padri Laurent Mkinga, OSB

Tangu kupandishwa hadhi kuna kuimarika KIROHO, Idadi ya waamini imeongezeka kutoka 1,300 hadi kufikia 1,510. Vyama vya kitume vimeimarika; UWAKA, WAWATA, VIWAWA, Karismatiki, Lejio Maria, Utoto Mtakatifu, Chama cha Watangaza Masomo, Watumishi Kuanzisha chama cha Moyo Mtakatifu wa Yesu

Uongozi wa Parokia
ADRIANO MGIMBA
MWENYEKITI
Tel : 0754 710572
EWALD MATEMU
MAKAMU MWENYEKITI
Tel : 0787 566000
JACQUELINE N. NSINDO
KATIBU
Tel : 0714 800380
NICOLAUS MAHUSHURI
KATIBU MSAIDIZI
Tel : 0713 657996
CONSOLATA MOSHA
MTUNZA FEDHA
Tel : 0713 488422
Ratiba ya Misa na Sakramenti
Day Mass Time Confession Time Other Sacraments
Monday - Friday 6:30 AM, 12:00 PM 5:00 PM - 6:00 PM Baptisms: Saturday 10:00 AM, Weddings: By Appointment
Saturday 7:00 AM, 5:00 PM (Vigil) 4:00 PM - 5:00 PM
Sunday 7:00 AM, 9:00 AM, 11:00 AM 6:30 AM - 7:30 AM
Imani Katika Huduma: Vyama vya kitume

Hakuna vyama vya kitume vilivyopatikana kwa parokia hii.

Tusaidie Kukua: Ungana Nasi Kuitimiza Dhamira Yetu
Matukio:

Coming soon...

Habari:

Coming soon...

Matangazo:

Coming soon...