KUHUSU HALMASHAURI YA WALEI
Parokia
Parokia ya Chakenge

Kigango cha Mt. Antoni wa Padua, Parokia ya Mji Mpya Relini kilizinduliwa tarehe 25.4.2010 kikiwa na jumuiya moja yenye familia 80 na kanisa dogo lililojengwa kwa makuti. Nyumba ya mapadri na kanisa la sasa vilijengwa kutokana na majitoleo ya waamini.  Kanisa lilibarikiwa na aliyekuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mhashamu Titus Mdoe tarehe 20.10.2013.

Kigango kilipewa hadhi ya kuwa Parokia Teule Julai 2018 kikiwa na jumuiya 19 (kanda 4).  Tarehe 7.7.2020 ilipata hadhi ya parokia chini ya Padri William Sindano (Paroko) na Padri John Mallya (Paroko Msaidizi). Parokia inazo kanda 15 zikiwa na jumuiya 41. Pia Parokia inasimamia Parokia Teule ya Mt. Dominiko – Kurutini. Parokia ya Chakenge inapakana na Parokia ya Msongola B; Parokia ya Viwege, Parokia ya Bomba Mbili; Parokia ya Kivule na Parokia ya Msongola A.

Uongozi wa Parokia
COSMAS SOKONI
MWENYEKITI
Tel : 0688 151104
VICENT MIHAYO
MAKAMU MWENYEKITI
Tel : 0712 001453
DEUSDEDIT MATHIAS
KATIBU
Tel : 0752 320008
ELIGIA MVULA
KATIBU MSAIDIZI
Tel : 0715 103621
EMERCIANA KABINGO
MTUNZA FEDHA
Tel : 0788 747672
Ratiba ya Misa na Sakramenti
Day Mass Time Confession Time Other Sacraments
Monday - Friday 6:30 AM, 12:00 PM 5:00 PM - 6:00 PM Baptisms: Saturday 10:00 AM, Weddings: By Appointment
Saturday 7:00 AM, 5:00 PM (Vigil) 4:00 PM - 5:00 PM
Sunday 7:00 AM, 9:00 AM, 11:00 AM 6:30 AM - 7:30 AM
Imani Katika Huduma: Vyama vya kitume

Hakuna vyama vya kitume vilivyopatikana kwa parokia hii.

Tusaidie Kukua: Ungana Nasi Kuitimiza Dhamira Yetu
Matukio:

Coming soon...

Habari:

Coming soon...

Matangazo:

Coming soon...