Dar es Salaam
Usaidizi wa Wateja
Parokia teule Homboza ilianzishwa mwaka 1985 kama kituo cha sala ikiwa na jumla ya waamini 30 tu. Muanzilishi wa kituo alikuwa Mwl. Mkuu wa shule ya msingi Homboza ndg. Cosmas Panga, kikilelewa na Parokia ya Pugu chini ya Padre Menard.
Mwaka 1994, Padre Menard alitoa pesa ya mifuko 50 ya cement ili kujenga Kanisa la kudumu alikuwa anamalizia muda wake wa utume Tanzania
Mwaka 1994 baada ya ujenzi kigango kikapewa jina la Mt. Maria Imakulata badala ya Homboza. Mwaka 1998 kigango kilihamishwa kutoka Parokia ya Pugu na kuwa chini ya Parokia ya Kisarawe msimamizi Padre Ntonja (Mkenya). Mwaka 2013 kilihamishiwa Parokia ya Chanika, chini ya Paroko Padre Sebastian.
Mwaka 2023 kilihamia Parokia ya Zingiziwa. Mwaka 2025 mwezi julai Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa’ichi OFMCap alikipandisha hadhi kutoka kigango mpaka kuwa Parokia teule ya Homboza,
| Day | Mass Time | Confession Time | Other Sacraments |
|---|---|---|---|
| Monday - Friday | 6:30 AM, 12:00 PM | 5:00 PM - 6:00 PM | Baptisms: Saturday 10:00 AM, Weddings: By Appointment |
| Saturday | 7:00 AM, 5:00 PM (Vigil) | 4:00 PM - 5:00 PM | |
| Sunday | 7:00 AM, 9:00 AM, 11:00 AM | 6:30 AM - 7:30 AM |
Coming soon...
Coming soon...
Coming soon...
Coming soon...