KUHUSU HALMASHAURI YA WALEI
Parokia
Parokia ya Kibamba

HISTORIA FUPI YA KUANZISHWA PAROKIA YA KIBAMBA

Mnamo tarehe 07/07/2009 Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo alitangaza kuwa, Kigango cha Kibamba kitakuwa Parokia tarajiwa kuanzia tarehe hiyo. Mnamo tarehe 18/06/2010 Parokia tarajiwa ililetewa mapadre wa kudumu ambao ni Paroko Fr. Prijo Joseph na Msaidizi wake Fr. Shaju Chako .

Tarehe 26/6/2010 Kibamba ilitangazwa rasimi kuwa Parokia na msimamizi wake Mt. Vincent wa Paulo – Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo aliitangaza Parokia ya Kimbamba akiwakilishwa na Dekano wa Dekania ya Kibaha Fr. Martin Dominic,  Paroko wa Parokia ya Mlandizi.

Wakati Parokia inaanzishwa 2010 waamini walikuwa wakisali kwenye jengo la muda ambalo lilizungushwa kwa mabati. Kutokea hapo juhudi kubwa zimekuwa zikifanyika ili kupata nyumba ya mapadre na kanisa jipya la kisasa kama ambavyo linaonekana kwenye picha hapo juu. historia kamili soma kwenye kiambatanisho hapo chini.

Uongozi wa Parokia
Pd. Prijo Joseph
PAROKO
Tel : 0786-234538
Short Bio: Mapadri Wamisionari wa Ekaristi Takatifu MCBS

LEONARD MASIGE
MWENYEKITI, KAMATI TENDAJI, HALMASHAURI YA WALEI PAROKIA
Tel : 0688 142747
DEODATUS DEUSDEDIT
MAKAMU MWENYEKITI , KAMATI TENDAJI, HALMASHAURI YA WALEI PAROKIA
Tel : 0713 819544
VICTOR RWEYONGEZA
KATIB, KAMATI TENDAJI, HALMASHAURI YA WALEI PAROKIAU
Tel : 0763 285448
ADOLPHINA LWAMBANO
KATIBU MSAIDIZI, KAMATI TENDAJI, HALMASHAURI YA WALEI PAROKIA
Tel : 0686 704303
PASCHAL SIMA
MTUNZA FEDHA, KAMATI TENDAJI, HALMASHAURI YA WALEI PAROKIA
Tel : 0767 306245
Pd. Prijo Joseph
PAROKO
Tel : 0786-234538
Pd. Martin Patatathanam
PAROKO MSAIDIZI
Tel : 0622-073544
Ratiba ya Misa na Sakramenti
Day Mass Time Confession Time Other Sacraments
Monday - Friday 6:30 AM, 12:00 PM 5:00 PM - 6:00 PM Baptisms: Saturday 10:00 AM, Weddings: By Appointment
Saturday 7:00 AM, 5:00 PM (Vigil) 4:00 PM - 5:00 PM
Sunday 7:00 AM, 9:00 AM, 11:00 AM 6:30 AM - 7:30 AM
Tusaidie Kukua: Ungana Nasi Kuitimiza Dhamira Yetu
Huduma na Vikundi
  • Huduma ya Wazee: Kikundi kinawasaidia wazee kwa maombezi na misaada ya kijamii ili kuboresha maisha yao.
  • Kwaya ya Vijana: Vijana wanajumuika kuimba nyimbo za kuhamasisha imani na mshikamano wa kijamii.
  • Huduma za Familia: Inatoa mafunzo na usaidizi kwa familia ili kuhakikisha maisha ya kifamilia yenye mshikamano.
  • Kikundi cha Matendo ya Huruma: Wanajitolea kuwahudumia maskini na wahitaji ndani ya jamii.
Jiunge Nasi
Shiriki katika vikundi vya parokia kama vile huduma za huruma au uimbaji wa kwaya. Ushiriki wako utaimarisha si tu maisha yako ya kiroho, bali pia mshikamano wa jamii nzima.
Saidia Parokia
Parokia ya Kibamba inakaribisha msaada wako katika miradi ya maendeleo kama ujenzi wa miundombinu na huduma za kijamii. Changia kwa hali na mali ili kuboresha huduma za parokia.
Matukio:

Coming soon...

Habari:

Coming soon...

Matangazo:

Coming soon...