KUHUSU HALMASHAURI YA WALEI
Parokia
Parokia ya Msimbaazi

Tarehe 13.01.1952 ndio ulikuwa mwanzo wa parokia ya msimbazi. Katika mkutano  wa pekee isiku ile katika ofisi ya Jimbo la Dar es Salaam, Askofu Edgar Maranta Pamoja na Muhudumu Mkuu wa Wakapuchini hapa Dar es Salaam Padre Vincent Pamoja na mapadre wengine waliweka mipaka ya Pamoja ya Msimbazi.  Padre Clemence Hug aliteuliwa kuwa Paroko wa kwanza

Ujenzi wa Kanisa  la msimbazi ulianza  tarehe 25-09-1953 chini ya uongoziwa Bruda Frans Popp. Jiwe la Msingi wa Kanisa liliwekwa na Askofu Mkuu Edgar Maranta tarehe 14-2-1954. Kanisa lilibarikiwa tarehe 12-06-1955 na Askofu Mkuu Edgar Maranta. Msimamizi na mwombezi wa Parokia ni Bikira Maria wa Fatima.

Askofu Maranta alimleta Mr Ponziano Togni (Mwitaliano) ambaye alichora  picha ya Bikira Maria wa Fatima na Watoto Lucia Fransisko na Yasinta.

Uongozi wa Parokia
P. Regnald Lyimo
PAROKO
Tel : 0745-019326
Short Bio: Padre wa shirika la Wafransisko Wakapuchini OFM Cap

CAROLI JOSEPH ASSENGA
MWENYEKITI,KAMATI TENDAJI, H/WALEI PAROKIA
Tel : 0787 756562
CYPRIAN SHIRIMA
MAKAMU MWENYEKITI, KAMATI TENDAJI, H/WALEI PAROKIA
Tel : 0715 943202
BEATRICE SHIO
KATIBU, KAMATI TENDAJI, H/WALEI PAROKIA
ANTHONY LIHEPA
KATIBU MSAIDIZI, KAMATI TENDAJI, H/WALEI PAROKIA
Tel : 0712 753355
AVELIN JOHN CHUWA
MTUNZA FEDHA, KAMATI TENDAJI, H/WALEI PAROKIA
Tel : 0655 556674
P. Regnald Lyimo
PAROKO
Tel : 0745-019326
Ratiba ya Misa na Sakramenti
Day Mass Time Confession Time Other Sacraments
Monday - Friday 6:30 AM, 12:00 PM 5:00 PM - 6:00 PM Baptisms: Saturday 10:00 AM, Weddings: By Appointment
Saturday 7:00 AM, 5:00 PM (Vigil) 4:00 PM - 5:00 PM
Sunday 7:00 AM, 9:00 AM, 11:00 AM 6:30 AM - 7:30 AM
Tusaidie Kukua: Ungana Nasi Kuitimiza Dhamira Yetu
Huduma na Vikundi
  • Huduma za Kichungaji: Misa za kila siku, mafundisho ya imani, sala za pamoja, na semina za kiroho.
  • Vikundi vya Utume: Kikundi cha Wanafunzi Wakatoliki (CYC), WAWATA, na Jumuiya ya Familia Takatifu.
  • Huduma za Kijamii: Huduma za afya, misaada kwa watu wenye uhitaji, na program za ushauri kwa familia.
Jiunge Nasi
Waamini wanahimizwa kushiriki katika vikundi vya utume, kushiriki misa za kila siku, na kutekeleza shughuli za kijamii na kiroho ndani ya parokia. Kuna nafasi za kujitolea katika huduma kwa watoto, wahitaji, na waimbaji wa kwaya.
Saidia Parokia
Waamini wanaweza kutoa michango ya kifedha, michango ya vifaa, au kujitolea katika miradi ya maendeleo ya parokia. Misaada hii inasaidia parokia katika kutekeleza huduma zake na kupanua shughuli za kijamii.
Matukio:

Coming soon...

Habari:

Coming soon...

Matangazo:

Coming soon...