Dar es Salaam
Usaidizi wa Wateja
Parokia ya Mt. Fransisco wa Asizi Kongowe ilianza kama Jumuiya ya waamini waliokuwa wakikutana Pamoja kwa sala kwa Muumini Marcus Bofu. Iliundwa na familia tatu tu. Baada ya waumini kuongezeka kwenye jumuiya, Tar 25/11/1972 kiliundwa kigango. Ujenzi wa Kigango ulianza1975 kwa ufadhili wa Pd. Merhard na kukamilika 1976.
Jengo la Kanisa la Kigango lilifunguliwa na Mwadhama Laurian Kardinal Rugambwa tar 20/02/1977. Kigango kilihudumiwa na Mapadre kutoka Parokia ya Mkuza. Miongoni mwao ni Pd. Menhard, Pd George Sai, Pd. John Lange, Padre Venance Tegete, Pd. Novatus Mbaula, Pd Jonson, Pd. Mathew Chavely na Pd. Pius Thomas.
Kigango kilipewa hadhi ya kuwa Parokia Teule 6/Jan 2017. Parokia Teule ya Mt. Fransisco wa Asizi ilizinduliwa kama Parokia kamili Tar.17 Dec 2017 na Mwadhama Polycarp Kardinal Pengo na kukabidhiwa kwa Missionaries of Compassion. Paroko wa kwaza akiwa Vimal George na Msaidizi wake Pd. Jojo Thomas. Kwa sasa inajulikana kwa Jina la Kongowele.
| Day | Mass Time | Confession Time | Other Sacraments |
|---|---|---|---|
| Monday - Friday | 6:30 AM, 12:00 PM | 5:00 PM - 6:00 PM | Baptisms: Saturday 10:00 AM, Weddings: By Appointment |
| Saturday | 7:00 AM, 5:00 PM (Vigil) | 4:00 PM - 5:00 PM | |
| Sunday | 7:00 AM, 9:00 AM, 11:00 AM | 6:30 AM - 7:30 AM |
- Huduma za Wazazi: Inasaidia wazazi kujifunza maadili ya Kikristo na kuwa mfano bora wa maisha ya familia.
- Kwaya ya Mt. Francis: Inatoa huduma za muziki wa kiroho zinazoburudisha na kuimarisha ibada.
- Huduma ya Vijana: Vijana wanapewa nafasi ya kushiriki katika maisha ya parokia na kujifunza maadili ya Kikristo.
- Huduma ya Wakfu wa Huruma: Kikundi kinachosaidia wahitaji katika jamii kwa msaada wa hali na mali.
Coming soon...
Coming soon...
Coming soon...
Coming soon...