Dar es Salaam
Usaidizi wa Wateja
Parokia ya Mt. Petro (Oyster bay) ipo barabara ya Haile Selassie ikitazamana na Protea Hotel ndani ya Jimbo Kuu la Dar es Salaam.
Asili ya Parokia ya Mt. Petro hapa Dar es Salaam inaaza kuangaziwa toka kipindi kile cha vijiji vidogo vidogo vya Wavuvi katika maeneo ya Msasani katika Bahari ya Hindi (Indian Ocean) pale ambapo kikanisa kidogo (Chapel) kimesimama chini ya Baobab tree.
Hiki kikanisa (Chapel) kinaaminika kuwepo miaka ya 1952 kikihudumiwa na Msgr. John Francis Dennis kutoka Parokia y Mt. Yosef (St. Joseph’s Cathedral) . Padre huyu alishirikiana na Catechists kuwaandaa wakrito kwaajili ya kupokea Sakramenti mbalimbali za Ubatizo, Komunio ya Kwanza (Communion) na Kipaimara (Confirmation
Mwaka 1958 Oysterbay ilitangazwa rasmi kuwa Parokia kamili na Msgr. John Francis Dennis akawa paroko wa kwanza
| Day | Mass Time | Confession Time | Other Sacraments |
|---|---|---|---|
| Monday - Friday | 6:30 AM, 12:00 PM | 5:00 PM - 6:00 PM | Baptisms: Saturday 10:00 AM, Weddings: By Appointment |
| Saturday | 7:00 AM, 5:00 PM (Vigil) | 4:00 PM - 5:00 PM | |
| Sunday | 7:00 AM, 9:00 AM, 11:00 AM | 6:30 AM - 7:30 AM |
- Kwaya ya Parokia: Inatoa nyimbo za kiroho zinazosaidia waamini kuungana katika ibada na maombi.
- Huduma ya Familia: Inahusisha kutoa msaada kwa familia ili kuimarisha ndoa na familia katika imani ya Kikristo.
- Kikundi cha Vijana: Vijana wanajifunza na kushiriki katika ibada na huduma za kijamii zinazotolewa na parokia.
- Huduma ya Jamii: Inalenga kutoa msaada kwa wahitaji katika jamii, kama vile misaada ya chakula, mavazi, na huduma za afya.
Coming soon...
Coming soon...
Coming soon...
Coming soon...